Radio Tadio

Jamii

27/08/2023, 15:21

Kijana ajinyonga Pemba

Na Is-haka Mohammed Mtu mmoja anayejulikana kwa jina Moh’d Omar Juma maarufu Magodoro   anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 30 mkaazi wa Machomanne Kilimo amefariki dunia baada ya kuonekana akining’inia katika chumba kwa kujinyonga. Khamis Issa Moh`d ni Mwanafamilia  wa…

18 Agosti 2023, 10:21

RC Kigoma apiga marufuku ramli chonganishi

Na, Tryphone Odace Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kamishna Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye amewataka viongozi wa Serikali za mitaa kuchukua hatua za kisheria haraka kwa watu wanaojihusisha na upigaji wa ramli chonganishi kwani imekuwa…

15/08/2023, 16:58

Sabra Machano arudishwa kazini

Na Ivan Mapunda. Aliyekuwa Mkurugenzi Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar  ZSSF Sabra Issa Machano amefutiwa mashtaka ya ubadhilifu wa fedha  wa bilioni 3 . Akizungumza na Zenj fm mkurugenzi wa taasisi ya Warrior Women Sabra Issa Machano amesema amepokea barua…

15 Agosti 2023, 10:05 mu

Mrindoko ‘Jiandaeni Kupokea Mwenge’

KATAVIMkuu wa mkoa wa katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko amewataka wananchi mkoani katavi kujiandaa na mapokezi ya mwenge wa uhuru ambao unatarajiwa kupokelewa August 24 katika shule ya msingi vikonge wilaya ya Tanganyika.Ametoa taarifa hiyo wakati akizungumza na waandishi wa habari…

13/08/2023, 16:08

Kituo cha polisi Tumbatu kwa mara ya kwanza

Kituo hicho cha polisi Tumbatu chenye hadhi ya daraja “c” kinatarajiwa kuwa mkombozi kwa wananchi wa kisiwa hicho. Na Said Bakari. Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamad Khamis Hamad amesema kukamilika kwa mradi wa kituo cha Polisi katika Kisiwa cha Tumbatu kutapelekea…