Radio Tadio

Habari

29 September 2023, 23:09

Mch. Mwakipesile ahukumiwa miaka 3 jela

Kila nchi inaendeshwa kwa mujibu wa taratibu na sheria na katika sheria hakuna ambaye anakuwa juu ya sheria, hivyo kila mtu anapaswa kuheshimu taratibu na kuheshimu sheria. Na Josea Sinkala Mahakama ya Hakimu mkazi Mbeya imemhukumu kutumikia kifungo cha miaka…

28 September 2023, 4:42 pm

MCT yakiri kukinzana kwa sheria ya matumizi sahihi ya mitandao

Hali hiyo imekuwa ikikinzana  na Sheria ya haki ya kupata Taarifa  ambayo inatoa wigo kwa wananchi kuwa huru kupata taarifa ambazo hazijazuiliwa kisheria. Na Seleman Kodima. Pamoja na Serikali kuhimiza Matumizi sahihi ya Mitandao ya kijamii, Baraza la Habari Tanzania…

22 September 2023, 2:53 pm

Mara waikubali ZUKU, waipokea kwa mikono miwili

Wananchi wa mkoa wa Mara wameoneshwa kuridhishwa na huduma ya king’amuzi cha ZUKU kutokana na ubora wake wa muonekano wa picha. Na Thomas Masalu Wananchi wa mkoa wa Mara wameoneshwa kuridhishwa na huduma ya king’amuzi cha ZUKU kutokana na ubora…

September 19, 2023, 2:37 pm

Serikali kujenga shule ya sekondari mpya Ushetu

SERIKALI Kuu imetoa Sh milioni 603.8 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya sekondari katika kijiji cha Ngilimba kata ya Ulowa Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Hatua hiyo itawanusuru wanafunzi kutembea umbali wa zaidi ya kilomita 10 kuelekea…

15 September 2023, 1:32 pm

Ujumbe wa WWF kwa wadau wa Uhifadhi

Na Edward Lucas Wadau wametakiwa kuwa na Ushirikiano ili kufanikisha juhudi na mikakati yote ya uhifadhi wa Bonde la Mto Mara kwa ajili ya uhifadhi endelevu. Wito huo umetolewa na Mratibu wa Programu za Maji Baridi kutoka WWF Tanzania, Eng.…

September 15, 2023, 1:10 pm

Wananchi wasiogope Jeshi la Polisi-RPC Magomi

Kamanda Janeth Magomi amezungumzia elimu ambayo wamekuwa wakiitoa katika jamii ili kupunguza au kutokomeza matukio ya wizi, uvunjaji na uhalifu vinakwisha ambapo amesema polisi Kata wapo kwenye kila Kata ili kuzngumza na wananchi ili kuwafichua wahalifu na wamekuwa wakitoa elimu…