Radio Tadio

Habari

27 Febuari 2023, 16:16

Vyombo vya habari vyatakiwa kutoa elimu

Wito kwa vyombo vya habari nchini kutumia nguvu iliyonayo katika kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa kutunza vyanzo mbalimbali vya maji. Na Mindi Joseph. Wito umetolewa kwa vyombo vya habari nchini kutumia nguvu iliyonayo katika kutoa elimu kwa…

24 Febuari 2023, 09:07

Mwenezi CCM Bunda aipa kongole Radio Mazingira

Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Bunda, Gasper CharlesĀ  amewahasa wananchi kuendelea kuisikiliza Radio Mazingira Fm kwa ajili ya kupata habari na taarifa mbalimbali. Wito huo ameutoa leo tarehe 23 Feb 2023 wakati alipotembelea ofisi za Radio Mazingira…

21 Febuari 2023, 15:32

Wanufaika wa mpango wa TASAF Bahi wameishukuru serikali

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka mpango maalumu wa kusaidia kaya masikini ambao utaleta ahueni. Na Bernad Magawa. Wanufaika wa mpango wa TASAF katika kijiji cha Bahi Sokoni wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma wameishukuru serikali ya Jamhuri ya…

18 Febuari 2023, 19:09

TPA yatakiwa kuitafutia masoko Bandari ya Mtwara

Na Musa Mtepa Naibu katibu mkuu wizara ujenzi na Uchukuzi Mhe. Dk Ally Possi ameitaka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kwa kushirikiana na Serikali kutafuta masoko ya kuiwezesha Bandari ya Mtwara kufanya kazi kikamilifu kutokana na uwekezaji uliopo hivi sasa…

18 Febuari 2023, 17:41

Wakuu wa Wilaya watakiwa kuhakiki ubora wa Miradi ya Mwenge

Na Musa Mtepa Wakuu wa wilaya na wataalamu ngazi zote wametakiwa kukagua nyaraka mbalimbali zinazotakiwa kuwepo kwenye miradi itakayopitiwa wakati wa mbio za mwenge mkoani mtwara kutekelezwa kwa ubora ili kuepuka ubadhirifu unaoweza kujitokeza. “Navielekeza vyombo vinavyotakiwa kuchukua hatua watakapo…

16 Febuari 2023, 16:09

Ombi la Aweso kwa Mkuu wa wilaya ya Pangani

Na Saa Zumo Mbunge wa Jimb la Pangani Mkoani Tanga Mheshimiwa Jumaa Hamidu Aweso amemshauri mkuu wa wilaya ya Pangani Bi. Zainabu Abdalla kuliweka suala la kushughulikia changamoto zilizopo katika Hospitali ya Halmashaur ya wilaya hiyo katika moja ya vipaumbele…

16 Febuari 2023, 14:44

Mhe. Gondwe aagiza Bahi kuongeza Mapato

Mkuu wa wilaya ya Bahi Mheshimiwa Godwin Gongwe ameiagiza halmashauri ya wilaya ya Bahi kuhakikisha inabuni, kusimamia na kuongeza vyanzo vya mapato ili kutekeleza kikamilifu agizo la Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania la kila wilaya kuhakikisha inakusanya mapato…