Habari
30 November 2022, 13:12
Kujihusisha na kilimo cha Bangi, kifungo cha miaka 30 jela
Na Gregory Millanzi. Afisa sheria Mkuu wa Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za Kulevya nchini, Christina Rweshabura amesema kuwa ukibainika kujihusisha na kilimo cha bangi na Mirungi , sheria inatoa kifungo cha miaka 30 jela. Rweshabura amesema kuwa,…
2 November 2022, 13:17
Kamati ya Lishe ya Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara yafanya tathimini
Na Gregory Millanzi Kamati ya lishe ya Halmashauri ya Wilaya Mtwara jana Novemba 1, 2022 imefanya kikao cha tathmini na Mkataba wa Lishe wa Kata na Vijiji. Afisa lishe wa Halmashauri ya Wilaya Mtwara Bi. Magreth Tingo amewasilisha taarifa ya…
18 August 2022, 6:06 am
Mara: Viongozi wa dini,Vyama vya Siasa,Wazee wa mila na waandishi wa habari wat…
Viongozi wa dini,Vyama vya Siasa,Wazee wa mila na waandishi wa habari wameombwa kuunganisha nguvu na taasisi za Serikali kuhamasisha masuala ya Sensa ili watu wote waweze kujitokeza kuhesabiwa. Akitoa hamasa kwa makundi hayo Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali…
13 August 2022, 07:44
Jeshi la polisi Lindi lawadaka watu kumi kwa tuhuma za wizi na usafirishaji miha…
Jeshi la polisi mkoani Lindi linawashikilia watu kumi kwa tuhuma za wizi na usafirishaji mihadarati. Hayo yameelezwa na kamanda wa polisi wa mkoa (RPC) wa Lindi, Kamishna msaidizi wa polisi (ACP) Marco Chirya alipozungumza na waandishi wa habari katika ofisi…
1 August 2022, 09:31
Vijiji 20 Ludewa kusahau makali mgao wa umeme
Waziri wa Nishati, January Makamba ametoa ufumbuzi wa changamoto ya muda mrefu ya mgawo wa umeme wa masaa 12 kwa vijiji 20 vilivyopo Wilaya ya Ludewa, ambavyo vimekuwa vikipata umeme kutoka kampuni moja inayoendesha mradi mdogo wa umeme wa maji…
1 August 2022, 09:22
DC aagiza NIDA kuwafuata watu
Mkuu wa Wilaya ya Missenyi, Kanali Wilson Sakulo amewaagiza maofisa wote wanaohusika na idara ya kutoa vitambulisho vya taifa (NIDA), kuweka utaratibu wa kuwapelekea huduma karibu wananchi wa mipakani, ili kuwaondolea adha ya kusafi ri umbali mrefu. Kanali Sakulo, ametoa…
28 July 2022, 19:12
Balozi wa Sweden atembelea Waandishi wa Habari Mtwara
Balozi wa Sweden 🇸🇪 nchini Tanzania Anders Sjöberg, leo julai 28,2022 ametembelea katika ofisi za Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara (MTPC) zilizopo katika jengo la Chama cha waalimu – CWT, mkoani humo. Balozi huyo amepokelewa na viongozi…
21 July 2022, 12:28
Wananchi wamkataa Diwani wa kata ya Nanguruwe Mkoani Mtwara
wananchi wa kata ya Nanguruwe mkoani mtwara katika Halmashsuri ya wilaya ya mtwara mkoani mtwara wamemkataa Diwani wa kata hiyo Patrick Simwinga baada ya kutokea kwa vurugu katika eneo lake la utawala. chanzo cha wananchi kumkataa diwani huyo ni vurugu…
16 July 2022, 3:55 pm
Waziri Makamba atoa ahadi hii kwa wananchi Sengerema
Waziri wa Nishati Nchini Mh,January Makamba amewahidi wananchi Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza kutatua tatizo sugu la kukatika kwa umeme ili kuwaondolea adha hiyo inayowakabili kwa muda mrefu . Waziri Makamba amesema hayo wakati akizungumza na wananachi katika mkutano wa hadhara…
22 June 2022, 7:47 am
Hapi: awaomba wazee Mara kusaidia kuondoa ubinafsi kwenye jamii
Mkuu wa Mkoa wa Mara amewaomba wazee wa mkoa huo kusaidia kukemea ubinafsi ambao unapelekea kuwepo hali duni za maendeleo unasababishwa na baadhi ya wananchi na viongozi kukwamisha baadhi ya miradi inayoletwa na Serikali. Kauli hiyo ametoa wakati akizungumza…