Radio Tadio

Habari za Jumla

4 July 2022, 1:15 pm

Wauguzi na wakunga waaswa kuepuka kupokea rushwa

Na; Benard Filbert. Wauguzi na wakunga wameaswa kuepuka kupokea rushwa katika maeneo yao ya kazi na kuwahudumia wagonjwa kwa uaminifu ili kulinda na kutunza heshima ya taaluma hiyo. Hayo yameelezwa na Jane Mazigo mkuu wa idara ya usajili na maadili…

30 June 2022, 11:11 am

Wakulima Pangani kupima hali ya Udongo wa Mashamba yao.

Wakulima wilayani Pangani mkoani Tanga wameshauriwa kuwa na utaratibu wa kupima hali ya afya ya udongo katika mashamba yao ili kutambua njia bora ya kusimamia ukuaji wa mazao yao na kuongeza tija katika shughuli zao za kilimo. Hayo yamezungumza na…

22 June 2022, 1:31 pm

Wazazi wa Pangani na matumizi ya Simu kwa watoto wao.

Wazazi na Walezi Wilayani Pangani Mkoani Tanga wametakiwa kutowapa watoto wao uhuru wa kupitiliza kwenye Matumizi ya simu za mkononi sababu zinaweza kuwa moja sababu ya kuwaharibu kimaadili. Pangani FM imezungumza na wazazi pamoja na walezi wa kijiji cha Kimang’a…

20 June 2022, 6:32 pm

Wanaume wa Pangani na malezi ya Watoto.

Wanaume wilayani Pangani Mkoan Tanga wamepewa wito wa kutimiza vyema wajibu wao katika malezi ya watoto bila ubaguzi wa kijinsia. Wito huo umetolewa na baadhi ya kina mama wilayani humo ambao kwa wamezungumza na Pangani FM. Wanawake hao wamedai kuwa…

June 17, 2022, 12:46 pm

HABARI ZA SENSA ZITOKE KWENYE VYANZO SAHIHI

Wahariri wa vyombo vya habari vya Redio jamii wameombwa kuhakikisha wanashiriki zoezi la sensa kwa weledi kwa kutoa taarifa za habari zenye vyanzo sahihi kwa ajili ya maendeleo ya taifa. Hayo yamesemwa na muwasilisha mada Dkt. Abubakar Rajab katika mafunzo ya…