Radio Tadio

Habari za Jumla

28 Machi 2024, 11:55

wapiga ramli chonganishi kuchukuliwa hatua kali za kisheria

Baraza la Madiwani katika halmashauri ya wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma limeazimia kuchukua hatua kali za kisheria kwa wapiga ramli chonganishi maarufu kamchape kufuatia kufanya shughuli za uvunjifu wa amani ndani ya halmashauri hiyo. Na, hagai Ruyagila Katika kikao hicho…

28 Machi 2024, 10:19 mu

LAAC yaipongeza Maswa kwa usimamizi mzuri wa miradi

Kamati  ya  Kudumu  ya  Bunge  ya  Hesabu  za  Serikali  za  Mitaa –  LAAC   imeipongeza  Halmashauri  ya  Wilaya  ya  Maswa  kwa  Usimamizi  Mzuri  wa  Fedha  za  Miradi  ya  Maendeleo zinazoletwa  Wilayani  hapo. Akitoa  Pongezi  hizo  mara  baada  ya  kutembelea  Jengo  la …

27 Machi 2024, 7:30 um

Watakaoharibu uchaguzi serikali za mitaa kukiona

Kutokana na uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu,serikali yatoa onyo. Na Edwine Lamtey Serikali  imetoa onyo kwa vikundi vya watu,Taasisi ama vyama vya siasa vinavyojipanga kwa ajili ya kuharibu uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye…

27 Machi 2024, 7:04 um

Bodi ya maji Losaa Kia yafanya uchaguzi,waweka mikakati

Bodi ya maji Losaa Kia yapata viongozi wapya,waomba ushirikiano. Na Edwine Lamtey Wananchi wanaoishi karibu na vyanzo vya maji wametakiwa kuvilinda na kuvitunza vyanzo hivyo ili kusaidia upatikanaji wa huduma hiyo na itakayokuwa toshelevu katika maeneo yote ikiwemo yale ya…

27 Machi 2024, 16:00

wakimbizi wapewa miezi 9 kurudi Burundi kwa hiari

Zaidi ya Wakimbizi Laki Moja Kutoka Nchini Burundi wanaohifadhiwa Katika Kambi za Wakimbizi NDUTA na NYARUGUSU Mkoani Kigoma, Wamepewa miezi tisa kuanzia sasa wote wawe wamerudi nchini Burundi kwa hiyari, Kabla ya kufutia hadhi ya ukimbizi ili kuungana na ndugu…

27 Machi 2024, 15:39

Mkandarasi barabara ya Kasulu Kibondo kuchukuliwa hatua

Wananchi na watumiaji wa barabara ya Kasulu Kibondo mkoani Kigoma, wameingiwa na hofu baada ya kukatika miundombinu ya barabara hiyo katika kijiji na kata ya Busunzu wilayani Kibondo, ikiwa ni wiki kadhaa zimepita eneo hilo kuanza kupitika, hali ambayo imeacha…

27 Machi 2024, 14:49

Wananchi watakiwa kutokuwa sehemu ya uvunjifu wa amani Kigoma

Wakazi wa kata ya Mahembe halmashauri ya wilaya ya Kigoma wamepatiwa elimu ya namna ya kulinda amani iliyopo huku wakitakiwa kushirikiana na vyombo vya usalama katika kufichua wahalifu ambao wamekuwa chanzo cha uvunjifu wa amani. Na, Josephine Kiravu.Awali akizungumza kwenye…