Radio Tadio

Habari za Jumla

6 July 2023, 10:31 am

Rais Samia afanya mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri

Na Mwandishi wetu RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri na kuunda wizara mpya. Rais Samia amevunja Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara na kuunda Wizara tatu; Ofisi ya Rais…

5 July 2023, 1:54 pm

Mtoto afariki kwa kushambuliwa na Fisi

Kutokana na kuongezeka kwa matukio ya Fisi kushambulia watu na mifungo wilayani sengerema, hali hiyo imezua hofu, huku baadhi yao wakishindwa kufanya shughuli za maendeleo Na:Emmanuel Twimanye Mtoto   mwenye umri wa  miaka 5  aliyeshambuliwa na Fisi na kujeruhiwa sehemu  mbalimbali…

4 July 2023, 1:04 pm

28 wapigwa msasa kwa ajili ya Uokoaji

Jumla ya Askari 28 wa Jeshi la zimamoto na Uokoaji kutoka mikoa mbalimbali Nchini Tanzania wameshiriki mafunzo ya pamoja ili kujiongezea ujuzi utakaowasaidia wakati wa uokoaji yanapotokea majanga. Akifungua mafunzo hayo Nov 21 mwaka huu,Kamishina msaidizi mwandamizi Zabrune Levson Muhumha,Kamanda…

4 July 2023, 11:38 am

Jela miaka 30 kwa ubakaji wa mtoto

Mahakama ya wilaya ya Missenyi mkoani Kagera, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Mahmoud Idi (54) mkulima mkazi wa kijiji cha Kigarama kata ya Kanyigo wilayani humo kwa kuthibitika pasipo na shaka kuwa alimbaka mtoto wa miaka minane kijijini hapo…

June 28, 2023, 2:19 pm

Anaswa kujiunganishia maji kinyemela Kahama

Jeshi la Polisi wilayani Kahama mkoani Shinyanga kwa kushirikiana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kahama (KUWASA) limemkamata Bwana Swamweli Samson mkazi wa mtaa wa Kihulya Nyakato kata ya Nyasubi kwa tuhuma za kuiba maji na kumwagilia bustani.…