Radio Tadio

Habari za Jumla

28 Febuari 2026, 17:05

Waziri Ndejembi ataka mradi wa Gesi Ntorya ukamilike kwa wakati

Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amemtaka mkandarasi kukamilisha mradi wa bomba la gesi Ntorya–Madimba ifikapo Septemba 2026 Na Musa Mtepa Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amemtaka mkandarasi anayetekeleza mradi wa uchimbaji na ujenzi wa bomba la kusafirishia gesi asilia kutoka…

28/02/2026, 16:11

ZEC yakamilisha zoezi la kuteketeza nyaraka za uchaguzi 2025

Na Mary Julius. Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetangaza rasmi kukamilisha zoezi la kuteketeza nyaraka za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kwa mujibu wa matakwa ya Sheria ya Uchaguzi ya mwaka 2018. Akizungumza katika zoezi hilo lililofanyika kijiji cha Muyuni,…

26 Febuari 2026, 3:06 um

Makanyagio: Maji yawatesa wakazi

Mhandisi Philipo Pagati meneja usambaji maji manispaa ya Mpanda. Picha na Anna Mhina “Kwa kweli kuna changamoto kubwa ya maji” Na Leah Kamala Wananchi kata ya makanyagio manispaa ya Mpanda mkoani Katavi  wamelalamikia  upatikanaji wa maji safi na salama hali…

20 Febuari 2026, 5:44 um

Miradi ya ujenzi, michezo yamvuta diwani

“ameomba kuharakishwa kukamilika kwa ujenzi wa madarasa hayo ili kurahisisha upatikanaji wa elimu kwa wanafunzi wa eneo hilo.“ Na Ben Gadau- Katavi Diwani wa Kata ya Ibindi Mdakuni Matongo ametembelea na kukagua  ujenzi wa madarasa katika shule ya msingi muungano…

16 Febuari 2026, 09:25

Madiwani Ushetu waomba TARURA kukarabati barabara korofi

”TARURA waombwa kuzitembelea barabara zilizohariba kutoka na mvua zinazoendelea kunyesha na kuzikarabati ili zipitike na kuwaondolea wananchi adha wanazokutana nazo wakati wa kutekeleza shughuli za kiuchumi” Wakala wa barabara wa mjini na vijijini (TARURA) wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kukarabati…

14 Febuari 2026, 10:26

Diwani aomba serikali kujenga shule ya sekondari

”Kata ya Nyahanga ina shule za msingi tano, huku ikiwa na shule moja ya sekondari ambayo imekuwa ikipokea wanafunzi wengi hali inayosababisa kuongeza shule nyingine ya pili ili kuondokana na changamoto kuwa na wanafunzi wengi” Diwani wa kata ya Nyahanga,…

13/02/2026, 10:50

Upendo na ukarimu hakupunguzi kiwango cha elimu zenu

Misemo na methali mbalimbali zinaendelea tukumbusha kutenda mema kama vile usimdharau usiemjua hii inatukumbusha kuwa kutenda mema wakati wote bila kuchagua ni nani wakumtendea wema huo hii uleta amani na upendo kwa aliyetendewa. Na,Lilian Martin Waziri wa Afya Mhe,Muhammed Mchengerwa…