
Recent posts

June 26, 2025, 12:55 pm
Wadau wa jukwaa la kilimo Bunda washauriwa kutoa elimu kwa Wakulima
Viongozi wa jukwaa la Wakulima Bunda. Picha na Revocatus Endrew “Tusikae na kujadili na kuishia kwenye vikao maana itakuwa ni kama hadithi tu inabinidi tunde kwa wakulima na kuwashawishi wa kulima kwa ajili ya kilomo chenye tija”. Mwenyekiti wa jukwaa…

June 20, 2025, 6:12 pm
Mwenyekiti bodi ya maji Bunda akagua mradi wa maji Mgango-Kiabakari
“Vijiji vyote vilivyopitiwa na mradi wa maji ikiwemo Bisarye, Nyamswa,Ikizu na Bukama vinufaike na mradi ili kupunguza uharibifu kwa miundombinu ya maji kwa vijiji ambavyo sio wanufaika” Joshua Mirumbe Mwenyekiti wa Bodi ya Maji Wilaya ya Bunda Na Amos Marwa…

June 14, 2025, 10:11 am
Wanafunzi Bunda wahamasishwa kupanda miti
”Upandaji miti ni njia mojawapo ya utunzaji wa mazingira,kupata kivuri na upatikanaji wa matunda ya kutosha katika jamii yetu” Tegemeo Masiti mhifadhi misitu Wilaya ya Bunda. Na Witness Joseph Akizungumza na Bunda Fm Radio kwenye kipindi cha ukurasa mpya mhifadhi…

June 11, 2025, 10:52 am
Wajumbe wa kamati ya maendeleo ya kata ya Bunda stoo halmashauri mji Bunda wampo…
“Hakuna sehemu ambayo miradi haijakamilika kwa kipindi cha miaka mitano miradi ya hospitali tumepeleka fedha na mitaa yote mitano iliyopo ndani ya kata ya Bunda stoo tumepeleka maji ” Flaviani Chacha Nyamigeko Diwani kata ya Bunda stoo. Na Amos Marwa…

June 7, 2025, 10:32 am
Timu ya Bunda Girls yaelekea Mwanza kushiriki mashindano ya ligi daraja la kwanz…
“Mkacheze kufa ama kupona ili muweze kufuzu kwenda ligi kuu ya wanawake kwasababu mnawakilisha wilaya ya Bunda na Mkoa wa mara kwaujumla” Mkuu wa Wilaya ya Bunda Aswege Enock Kaminyoge Na Amos Marwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Aswege Enock…

May 28, 2025, 1:26 pm
Wakazi wa mtaa wa Kilimani Bunda Mji walalamika kuharibika kwa daraja
Wakazi wa Mtaa wa Kilimani Halmashauri ya wilaya ya Bunda wameomba Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA), kutengeneza daraja la barabara ya kilimani karibu na stendi mpya liloharibika kutokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni. Wakizungumza na Bunda FM Radio…

May 21, 2025, 11:50 am
Madiwani Bunda Mji watakiwa kushirikiana na wakuu wa idara ya elimu
”Madiwani shirikianeni na watendaji wa mitaa pamoja na wazazi ili kuhakikisha upatikanaji wa chakula cha mchana kwa ajili ya wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari”, Salum K. Mtelela katibu tawala Wilaya ya Bunda. Na Amos Marwa Katibu tawala wa…

May 21, 2025, 11:20 am
Wananchi Bunda kuchagua viongozi waadilifu, waleta maendeleo
”Siasa ni maisha lazima tuchague viongozi wanaokuwa karibu na wananchi na wanaojuwa maisha ya wananchi wanaowaongoza”, maoni ya mwananchi wilayani Bunda. Na Amos Marwa Wananchi Wilayani Bunda wamesema kueelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Octoba mwaka huu wamejipanga kuchagua Viongozi waadilifu, wasio…

April 30, 2025, 1:34 pm
Mama ahukumiwa miezi sita nje ya jela wilayani Bunda kwa ukatili
‘‘Naomba mahakama itoe adhabu kali kwa mshitakiwa ili iwefundisho kwa jamii kuacha tabia ya ukatili dhidi ya watoto’’. Aristariko Msongelo mwendesha mashitaka wa Jamhuri Wilaya ya Bunda. Na Adolf Mwolo Mahakama wilayani Bunda imemhukumu kifungo cha miezi 6 cha nje…

April 29, 2025, 12:22 pm
Wananchi wilayani Bunda wametakiwa kuchukua vitambulisho vyao vya Taifa (NIDA)
”Tumepokea maelezo kutoka kwa Mkurugenzi mkuu wa NIDA, James Kaji, kufikia mei mosi 2025 kuwa wananchi wote waliotumiwa ujumbe mfupi wa sms kujulishwa upatikanaji wa vitambulisho vyao lakini hawajajitokeza kuchukua vitasitishwa” Hilkia Nyamongo,kaimu Afisa usajili NIDA Wilaya ya Bunda. Na…