Radio Tadio

Habari za Jumla

28 November 2021, 8:00 am

Mtelela:-TAKUKURU ichunguzeni TARURA Bunda mjini

Katibu tawala Wilaya ya Bunda Salum Mtelela ameelekeza TAKUKURU Wilaya ya Bunda kuichunguza TARURA Bunda Mjini kutokana na malalamiko mbalimbali ya utekelezaji usiyofaa wa miradi ya miundombinu ya Barabara ndani ya Halmashauri ya Mji wa Bunda Maelekezo hayo ameyatoa kwenye…

23 November 2021, 9:34 am

TANLAP yawajengea uwezo wasaidizi wa kisheria Rungwe

RUNGWE Kaimu mkurugenzi kutoka mtandao wa Mashirika yanayotoa msaada wa kisheria Tanzania [TANLAP] MCHELELI MACHUMBANA ameitaka jamii kujua sheria mbambali ili kukabiliana na unyanyasaji uliopo kwenye maeneo yao. Ametoa kauli hiyo mbele ya wasaidizi wa kisheria waliopo wilayani Rungwe mkoani…

22 November 2021, 9:36 am

Mafunzo yawe chachu ya mabadiliko

RUNGWE-MBEYA NA:STAMILY MWAKYOMA Vijana wametakiwa kuwa vielelezo katika jamii kupitia mafunzo yanayotolewa na vyuo vya maendeleo ya wananchi hapa nchini. Kauli hiyo imetolewa na mgeni rasmi Ndugu Gerald Kimbunga  katika maafali ya 45 ya chuo cha maendeleo ya Wananchi Katumba…

19 November 2021, 10:44 am

Wafanyabiashara Soko la Matunda Walia na Vibanda

Baadhi ya wafanyabiashara soko la matunda lililopo mtaa wa kawajense Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi wameuomba uongozi wa soko kuwawekea mfumo mzuri wa uwepo wa vibanda vya kuuzia bidhaa zao. Wakizungumza na mpanda radio FM wafanyabiashara hao wamezitaja changamoto…

15 November 2021, 3:09 pm

Jamii imetakiwa kusaidia watoto wenye uoni hafifu

RUNGWE-MBEYA Mwenyekiti wa chama wasioona (TLB )mkoa wa Mbeya ndg.YOHANA MONGA amewaomba wadau mbalimbali kote nchini kusaidia vifaa vya kufundishia watoto wenye mahitaji maalum mashuleni. Ametoa kauli hiyo alipokuwa akikabidhi fimbo nyeupe kwa wanafunzi wasioona kwenye shule ya mahitaji maalum…