Habari za Jumla
January 21, 2022, 12:12 pm
zima moto wajipanga kukabiliana na majanga ya moto
Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga, Hanafi Mkilindi, amesema jeshi hilo limejipanga kikamilifu katika kukabiliana na majanga yatakayotokea kipindi hiki cha mvua.. Akizungumza ofisini kwake leo amesema kwa kushirikiana na wananchi watafanikiwa katika kukabiliana…
20 January 2022, 8:50 pm
Bunda: serikali ya wilaya kumtafuta mwananchi aliyepotea katika mazingira ya kut…
Waakazi wa kata ya Balili halmasahauri ya mji wa Bunda mkoani Mara wametakiwa kuwa na subira kuhusu kupatikana kwa ndugu yao aliyetoweka katika Mazingira ya kutatanisha.Akizungumza katika kikao cha kupata ufumbuzi wa suala hilo katibu tawala wilaya ya Bunda Salum…
20 January 2022, 7:55 pm
Madarasa 708 yajengwa kwa fedha za UVICO-19 mkoani Mara
Jumla ya madarasa 708 mkoani Mara yamejengwa kupitia mradi wa maendeleo ya ustawi wa taifa na mapambano dhidi ya UVICO 19. Hayo yameelezwa na mkuu wa mkoa wa Mara Ally Happi wakati wa ziara ya kukagua na kuzindua madarasa 48…
20 January 2022, 10:31 am
Serengeti: Wamuua kikongwe kwa ahadi ya laki tano
Watu wanne akiwemo mwanamke mmoja wakazi wa kijiji cha Rigicha wanashikiliwa na Polisi wilaya ya Serengeti kwa tuhuma ya mauaji ya kikongwe kwa ahadi ya ujira wa sh500,000 wakimtuhumu kwa ushirikina. Hata hivyo taarifa za awali zinadai kwamba hadi wanakamatwa…
13 January 2022, 6:24 am
Watu 14 wamepoteza maisha wakiwemo wanahabari watano m
Watu 14 wamepoteza maisha wakiwemo wanahabari watano na abiria wa kawaida katika ajali iliyohusisha magari mawili ikiwa moja ni la abiria aina ya Toyota Hiace na jingine lenye namba za usajili STK 8140 mali ya Serikali lililokuwa limebeba waandishi wa…
January 12, 2022, 5:45 pm
Manispaa ya Kahama wazindua Jukwaa la uwekezaji Wanawake kiuchumi
Jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga limezinduliwa leo lengo likiwa kuwazesha wanawake katika sekta mbalimbali za kiuchumi. Uzinduzi wa jukwaa hilo la wanawake kiuchumi umefanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Kahama ambapo mgeni rasmi akiwa katibu…
January 9, 2022, 5:20 pm
Viongozi wa Serikali za Mitaa wapewa maagizo kwenye sekta ya elimu
Mbunge wa Jimbo la Kahama mjini Jumanne Kishimba amewataka viongozi wa serikali za mitaa kuhakikisha wanasimamia zoezi la uandikishaji wa wanafunzi wanaotarajia kuanza Elimu ya msingi. Ameyasema hayo kwenye kikao cha wenyeviti wa serikali za mitaa Manispaa ya Kahama ambapo…
8 January 2022, 14:05 pm
Meli Kubwa yatia Nanga Bandari ya Mtwara kubeba Makaa ya Mawe
“Meli kubwa ya Star fighter ambayo itaondoka na tani elfu 59 za makaa yam awe, Sisi tumefurahi sana ujio wake, na uzito unaoondoka hapa kwa upande ule wa gati ya zamani tusingeweza kuipaki kwa tani elfu 59, uboreshaji na ujenzi…
3 January 2022, 9:46 am
Madarasa 24 yakamilikika kwa asilimia 100
RUNGWE-MBEYA Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Busokelo Bi, LOEMA PETER amekabidhi takribani vyumba vya madarasa 24 kwa Mkuu wa wilaya ya Rungwe baada ya kumalika ndani ya muda ulio pangwa. Ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na kituo hiki huku akieleza…
24 December 2021, 5:45 am
Umbali chazo cha unyanyasaji wilayani Rungwe
Umbali wa malezi uliopo baina ya wazazi, walezi, walimu na watoto imetajwa kuwa moja kati ya sababu zinazopelekea kushamiri kwa vitendo vya unyanyasaji dhidi ya watoto wilayani Rungwe mkoani Mbeya. Aidha jamii imetakiwa kuwalinda zaidi watoto huku wazazi wakitakiwa kujenga…