Radio Tadio

Familia

31 Oktoba 2023, 09:06

Askofu Mwakanani apata mchumba,kufunga ndoa mwakani 2024

Mungu aliona si vyema mwanaume akawa peke yake akamfanyia msaidizi,hivyo ndoa ni mpango wa Mungu na ndio maana Mithali 18:22 inasema Apataye mke apata kitu chema;Naye ajipatia kibali kwa BWANA. Na Kelvin Lameck Askofu wa makanisa ya Evangelical Brotherhood Tanzania…

25 Oktoba 2023, 2:02 um

Ufahamu uhuru wa matumizi ya kipato

Baadhi ya jamii bado zinaamini mila na desturi kamdamizi kuwa mwanaume ni kilakitu katika familia . Na Mariam Matundu. Je uhuru wa matumizi ya kipato ninini? Je nini kinapelekea baadhi ya wanaume kuwanyima wake au wenza wao uhuru wa kutumia…

15 Agosti 2023, 3:42 um

Baba atelekeza familia na kwenda kuanzisha familia nyingine

Mama huyo anadai kuishi maisha magumu kwani  anatumia muda mwingi kutafuta kipato cha kumuwezesha yeye pamoja na watoto wake kupata mahitaji muhimu ikiwemo chakula. Na Leonard Mwacha. Katika hali ya kushangaza baba mmoja mkazi wa Jijini Dodoma ameitelekeza familia yake…

21 Juni 2023, 13:40 um

Mila, desturi kikwazo wanawake kuwa viongozi

Mila na tamaduni zinachukua nafasi kubwa katika kuenzi nafasi za wazee katika jamii zetu, wandishi wa habari wana nafasi kubwa ya kupunguza baadhi ya mila zenye kuharibu jamii hasa wanawake. Na Musa Mtepa Wandishi wa habari mkoani Mtwara wameelezea changamoto…

23 Mei 2023, 4:56 um

Wanandoa watakiwa kuimarisha upendo kuepusha ndoa nyingi kuvunjika

Wazazi wametakiwa kuimarisha upendo na kuepuka kuvunja ndoa ambazo huacha watoto wakitaabika bila malezi huku wengine wakibaki kuwa watoto wa mitaani. Na Bernad Magawa. Ili kuhakikisha kuwa watoto katika familia wanalelewa na wazazi wote wawili, Wanandoa wameshauriwa kuimarisha upendo kati…

17 Mei 2023, 10:15 mu

Wazazi waaswa kurejea malezi ya zamani

TANGANYIKA Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu ametoa wito kwa wazazi kurudi enzi za nyuma kwa kutenga muda wa kuzungumza na watoto wao badala ya kuwawekea katuni kwenye runinga huku watoto wakiendelea kuharibika kimaadili. Buswelu ametoa wito huo katika…

18 Aprili 2023, 9:26 um

Wazazi na Walezi Wametakiwa Kuwapa Watoto wao Elimu

MPANDA Wazazi na Walezi Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wametakiwa kuwapa kipaumbele watoto katika kupata elimu ili waweze kutimiza ndoto zao. Akizungumza katika hafla ya kutunukiwa udaktari kutoka chuo cha all nation christian church Askofu Laban Ndimubenya amewataka wazazi na…