Radio Tadio

Familia

28 September 2021, 1:18 pm

Nzinje waipongeza serikali kwa kutatua changamoto za maji

Na; Shani Nicolous. Mwenyekiti wa mtaa wa Nzinje Bw .Godfrey Daud Samweli amepongeza juhudi mbalimbali za serikai zinazofanyika kutatua changamoto za mtaa huo. Akizungumza na Taswira ya habari mwenyekiti huyo amesema kuwa kuna shughuli zinaendelea katika mtaa huo kama kusafisha…

10 August 2021, 11:56 am

Wakazi wa Mkanana walalamikia kukosa maji safi na salama

Na; Selemani Kodima. Licha ya uwepo wa chemchem za maji katika kijiji cha Mkanana bado Changamoto ya Maji imeendelea kuwa kilio kwa wakazi wa eneo hilo hali ambayo msimu wa kiangazi inakuwa mara dufu. Baadhi ya wananchi wakizungumza na Taswira…