Familia
16 July 2021, 12:48 pm
Wakazi Wilayani Chamwino watakiwa kutunza na kusimamia miradi ya maji
Na; Benard Filbert. Wakazi katika wilaya ya Chamwino wametakiwa kutunza na kuisimamia miradi ya maji ambayo imekuwa ikiratibiwa na wakala wa huduma za maji vijijini RUWASA ili kuepusha changamoto ya upatikanaji wa huduma hiyo. Hayo yameelezwa na meneja wa RUWASA…
15 July 2021, 11:53 am
Wakazi wa Chiwondo walazimika kutembea kilomita 6 kutafuta maji
Na; Benard Filbert. Changamoto ya ukosefu wa maji katika kijiji Cha Chiwondo Kata Ya Dabalo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma imetajwa kuwa kikwazo cha maendeleo kwa wakazi hao kutokana na kutembea zaidi ya kilomita 6 kutafuta huduma hiyo. Wananchi hao wameiambia…
8 July 2021, 12:07 pm
Watumishi wa wizara ya maji wametakiwa kutekeleza miradi ya maji ipasavyo
Na; Yusuph Hans. Watumishi katika wizara ya maji wametakiwa kuhakikisha wanakuwa na nidhani katika matumizi ya fedha na kutekeleza miradi ya maji ipasavyo kwa maslahi ya wananchi na Taifa kwa ujmla. Hayo yamebainishwa leo Jijini Dodoma na Waziri wa maji…
6 July 2021, 12:15 pm
Watumishi wa wizara za maji na mamlaka zake watakiwa kuwa na lugha nzuri kwa wat…
Na; Pius Jayunga. Waziri wa maji Jumaa Aweso amewataka watumishi wa Wizara ya maji na mamlaka zake kuwa na lugha nzuri kwa wateja wao ili kuchochea utoaji wa huduma bora za maji kwa wananchi maeneo mbalimbali Nchini. Kauli hiyo ameitoa…
6 July 2021, 11:49 am
Wakazi Mkutani walazimika kutembea kilomita sita kutafuta maji
Na; Benard Filbert. Wakazi wa Kijiji cha Mkutani Kata ya Hogoro Wilayani Kongwa wanakabiliwa na changamoto ya huduma ya maji safi na salama hali ambayo imekuwa ikiwalazimu kutembea umbali mrefu kutafuta huduma hiyo. Hayo yameelezwa na wakazi hao wakati wakizungumza…
2 July 2021, 11:53 am
Wakazi wa Miganga walalamikia kukatika kwa maji mara kwa mara
Na; Benard Filbert. Kukatika kwa maji kila mara katika mtaa wa miganga kata ya Mkonze mkoani Dodoma imetajwa kuwa kero kwa wakazi wa mtaa huo hali inayowalazimu kutumia maji ya visima ambayo sio salama kiafya. Hayo yameelezwa na wakazi wa…
1 July 2021, 6:20 am
Uhaba wa maji wapelekea wakazi wa Lugala kushea vyanzo vya maji na wanyama
Na; Benard Filbert. Afya za Wakazi wa Mtaa wa Lugala jijini Dodoma zipo hatarini kutokana na kutumia vyanzo vya maji pamoja na wanyama. Uhaba wa upatikanaji wa huduma ya maji katika mtaa huo ndio imepelekea wakazi hao kufanya hivyo.Wakizungumza na…
29 June 2021, 11:21 am
Ukosefu wa maji safi na salama waathiri uchumi wa kijiji cha Asanje
Na; Benard Filbert. Ukosefu wa huduma ya maji safi na salama katika kijiji cha Asanje wilayani bahi imetajwa kuathiri shughuli za kiuchumi kwa wakazi wa kijiji hicho. Hayo yameelezwa na wakazi wa kijiji hicho wakati wakizungumza na taswira ya habari…
24 June 2021, 10:24 am
Kata ya majeleko yakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama
Na; Victor Chigwada. Wakazi wa Kata ya Majeleko Wilayani Chamwino wameiomba Serikali kuwapelekea huduma ya maji safi na salama. Wakizungumza na taswira ya habari wakazi hao wamesema wanakabiliwa na tatizo la maji kwa muda mrefu sasa hali inayo walazimu akina…
4 June 2021, 1:23 pm
Waziri Awesso afanya ziara ya kukagua miradi ya maji wilaya ya Kongwa
Na; Selemani Juma. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameagiza kuondolewa katika wizara hiyo mhandisi wa maji wa Wakala wa Maji Vijijini (Ruwasa) Wilaya ya Hanang, Herbert Kijazi baada ya kuisababishia hasara Serikali ya Shilingi milion 609. Hatua ya hiyo imekuja…