Radio Tadio

Familia

4 Aprili 2024, 5:27 um

Nala bado yakabiliwa na changamoto ya maji

Serikali kupitia Wizara ya Maji na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) imewekeza kiasi cha shilingi bilioni 9.14 ikiwa ni hatua za haraka na muda mfupi zilizofanyika za kutatua changamoto ya maji pamoja na uchimbaji na uendelezaji…

15 Febuari 2024, 4:27 um

Wajawazito Handali walazimika kwenda leba na maji

Pamoja na hatua hizo za kwenda na maji kituo cha afya lakini bado wanakutana na shuruba nyingine namna ya kupata maji hayo bombani. Na Victor Chigwada.Pamoja na umuhimu wa matumizi ya maji katika sehemu za kutolea huduma za afya imekuwa…

8 Januari 2024, 16:43

Wazazi kushirikiana tiba ya upendo kwa mzazi mmoja

Baadhi ya wazazi wakiume wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kushirikiana na wazazi wa kike kuzilea familia zao na kuacha kuzitelekeza hali inayopelekea baadhi ya watoto kuwa na mapenzi na mzazi mmoja. Rai hiyo imetolewa na Mchungaji kiongozi wa kanisa la…

2 Disemba 2023, 1:59 um

60% ya familia Mpanda zatajwa kutelekezwa na mmoja wa wazazi

Picha na Mtandao Wanaume Wameonekana kuwa na Kiwango Kikubwa cha Utelekezaji wa Familia ikilinganishwa na Wanawake. Na Gladness Richard-Katavi 60% ya Familia Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi zimetajwa kutelekezwa na  Mmoja wa Wazazi huku hali hiyo ikisababisha Watoto kutopata haki…

3 Novemba 2023, 17:54 um

Rushwa ya ngono isichukuliwe kawaida

Rushwa ya ngono katika maeneo ya kazi kwa upande mwingine ni suala la mkanganyiko kwa sababu ni suala Mtambuka huku akisema kuwa inawezekana Bosi akampenda kweli mfanyakazi wake lakini wakati mwingine anaweza kutafsiriwa kuwa ni Rushwa ya ngono Na Musa…

31 Oktoba 2023, 8:55 um

Wazazi watakiwa kufuatilia mienendo na malezi ya watoto wao

Wazazi na walezi wilayani Sengerema mkoani Mwanza wanatajwa kujali zaidi shughuri zao binafsi na kuonyesha kulitegea mgongo suala la malezi kwa watoto, huku wenginge wakiwaachia watoto kuwalea watoto wenzao. Na:Emmanuel Twimanye. Wazazi Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza  wametakiwa   kutimiza jukumu la…