Radio Tadio

Elimu

20 December 2023, 2:31 pm

Jiji la Dodoma kutoa milioni 20 katika kituo jumuishi

Kongamano hilo la wadau wa Elimu jumuishi katika Mkoa wa Dodoma limewakutanisha watu mbalimbali wakiwemo maafisa elimu kata ,wazazi ,viongozi wa dini pamoja na wafadhili wa baadhi ya Miradi katika vituo jumuishi vilivyopo jijini hapa huku kauli mbiu katika kongamano…

19 December 2023, 19:58

Elimu kwa mlipa kodi,wananchi wafurahia

Na mwandishi wetu Halmashauri ya wilaya ya rungwe  imeanza zoezi la kutoa elimu kwa mlipa kodi lengo likiwa ni kuwajengea uelewa wananchi faida ya kutoa kodi kwa maendeleo ya taifa letu. Katika soko la ndizi mabonde  tukuyu mjini leo, wananchi…

18 December 2023, 9:20 pm

Bodaboda ni kundi lenye uhitaji mkubwa wa damu

Elimu ya usalama barabarani kwa Bodaboda bado inaendelea jijini Dodoma huku ikigusa mambo mbalimbali ikiwemo uchangiaji damu, huduma ya kwanza na jamii na tayari elimu hii imekwisha wafikia bodaboda takribani 180. Na Mariam Kasawa. Vijana wametakiwa kutambua kuwa usalama barabarani…

17 December 2023, 1:52 pm

PWC watumia redio kumlinda mtoto wa kike kipindi cha likizo

Jamii za kifugaji wilayani Ngorongoro wamekuwa wakitumia kipindi cha likizo kwa wanafunzi pindi wanaporudi nyumbani kutekeleza mila na desturi kwa mtoto wa kike ambazo zimekuwa zikimkatili, Mila au matendo hayo ni kama vile kuozeshwa,mimba za utotoni,kufanyishwa kazi ngumu na hata…

13 December 2023, 8:39 pm

Leo tunaangazia uongozi kwa wanawake

Ameanza jitihada za kuhakikisha elimu inatolewa kwa wanawake. Na Mariam Matundu.Mifumo dume pamoja na uwoga vimetajwa kuwa sababu ya baadhi ya wanawake kushindwa kuwania nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali wakati wa chaguzi . Diwani wa kata ya Nala bw.…

13 December 2023, 11:03 am

Wazazi waaswa kuwalinda wanafunzi kipindi cha likizo

Matukio mengi ya ukatili kwa wanafunzi hutokea kipindi cha likizo hivyo wazazi wawe makini kuwalinda watoto wao. Na Cosmas Clement. Wazazi na walezi wa wanafunzi wilayani Pangani mkoani Tanga wameaswa kuwa makini na kuimarisha usimamizi kwa watoto wao katika kipindi…