Radio Tadio

Elimu

16 January 2024, 12:00

PM Majaliwa awasili Mbeya kufungua chuo kikuu CUoM

Na Hobokela Lwinga Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh: Kasim Majaliwa tayari amewasili katika Uwanja wa Kimataifa Songwe ulioko Mkoani Mbeya kwaajiri ya Kushiriki Hafla ya Ufunguzi wa Chuo Kikuu Cha Kikatoloki Mbeya(CUoM). Waziri Mkuu amepokelewa na…

16 January 2024, 10:19

Wananchi wajenga shule ya sekondari, serikali yatia mkono

Na mwandishi wetu Isaka sekondari, shule mpya katika kata ya Nkunga ambayo imesajiliwa kwa namba S. 6491 na tayari imeanza kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza. Kuanzishwa kwa shule hii kumesaidia kuondoa msongamano wa wanafunzi darasani katika shule ya sekondari…

11 January 2024, 1:15 pm

Kauli ya mkuu wa mkoa wa Arusha kuhusu watoto kurejea shuleni

Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kuweka swala la elimu kuwa kipaumbele na kuhakikisha wanafunzi wanasoma katika mazingira mazuri na kuhakikisha wazazi wanawapeleka watoto shule. Na Nyangusi Olesang’ida Mkuu wa mkoa wa Arusha John Mongella amewataka wazazi na…

11 January 2024, 12:11

Songwe Dc yafanya ziara ya uripoti wa Wanafunzi shuleni

Na mwandishi wetu, Songwe Wakuu wa Divisheni ya Elimu Awali, Msingi na Sekondari wamefanya ziara ya kufuatilia hali ya uripoti wa wanafunzi wanaoanza elimu ya awali, darasa la kwanza na wanaojiunga na kidato cha kwanza katika baadhi ya shule zilizopo…

11 January 2024, 11:50

Walimu Songwe DC wapewa mafunzo mtaala ulioboreshwa

Na mwandishi wetu, Songwe Walimu kutoka Kata za Saza, Mkwajuni na Mwambani Wilayani Songwe wamepewa mafunzo ya mtaala ulioboreshwa yaliyofanyika katika Shule ya Msingi Mkwajuni. Akizungumza wakati wa mafunzo hayo, Mkuu wa Divisheni ya Elimu Awali na Msingi Wilaya ya…

10 January 2024, 7:16 pm

Kampuni ya Blue Coast yakarabati madarasa saba

Wawekezaji wazawa waliyopo wilayani Geita wametakiwa kushirikiana na serikali kuondoa changamoto mbalimbali zilizopo kwenye sekta ya elimu kwenye maeneo waliyowekeza. Na Mrisho Sadick – Geita Wakazi wa Mtaa wa Nyamalembo Kata ya Mtakuja Halmashauri ya Mji wa Geita wameishukuru kampuni…