Radio Tadio

Elimu

18 January 2024, 20:59

Rungwe DC yakamilisha ujenzi nyumba za watumishi

Na Hobokela Lwinga Halmashauri ya wilaya ya Rungwe imekalisha ujenzi wa nyumba ya watumishi (two in one) katika shule ya sekondari Msasani one kwa gharama ya shilingi million 100. Fedha hii imetolewa na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na…

17 January 2024, 09:54

Hatua kali kuchukuliwa watoto kutoripoti shuleni

Mkuu  wa Wilaya  ya Kasulu Kanal Isaac Mwakisu amewataka Wazazi na walezi ambao watoto wao hawajaripoti shule wahakikishe wanakwenda shule kabla ya hatua kali za kisheria hazijachukuliwa dhidi yao. Na Hagai Luyagila Kanali mwakisu amesema mahudhurio ya wanafunzi shuleni bado…

17 January 2024, 8:13 am

Upungufu wa walimu Chididimo wadidimiza elimu ya msingi

Ninini Mchakato wa serikali juu ya changamoto ya upungufu wa walimu katika shule hii. Na Thadei Tesha.Upungufu wa walimu katika shule ya msingi Chididimo iliyopo jijini Dodoma Imetajwa kama moja ya kikwazo kinacho sababisha wananfunzi kushindwa kusoma ipasavyo. Hini shule…

16 January 2024, 18:39

Rasmi chuo kikuu cha Kikatoliki Mbeya CUoM chapanda hadhi

Na Hobokela Lwinga Waziri Mkuu Kassim Majaliwa rasmi amekizindua na kukipandisha Hadhi chuo kikuu kishiriki Cha Cathoric University Collage of Mbeya (CUCoM) na kuwa chuo kikuu kamili Cha kikatoliki Mbeya (CUoM) Leo January 16 2024. Awali akifungua chuo hicho kwa…

16 January 2024, 4:48 pm

RC Mwanza aipongeza Sengerema ujenzi wa madarasa.

Mkuu wa mkoa wa mwanza Mh, Amos Mkala  baada ya kutamatisha ziara yake katika Halmshauri ya Sengerema,  ameendelea na ziara yake katika Halmshauri ya Buchosa wilayani Sengerema kwa ajili ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo sekta ya…