Radio Tadio

Elimu

10 Agosti 2023, 1:20 um

Wazazi watakiwa kuwapatia haki ya elimu watoto wenye ulemavu

Ingawa malengo ya maendeleo endelevu yanahimiza kuwa hakuna mtoto anayepaswa kuachwa nyuma lakini utafiti uliofanywa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumiwa Watoto UNICEF 2022 unaonesha kuwa kati ya watoto milioni 240 wenye ulemavu duniani nusu hawajawahi kuhudhuria shuleni.…

10 Agosti 2023, 11:03 mu

Zaidi ya kilo milion 6.9 za pamba zanunuliwa Bunda

Pamoja na idadi hiyo ya tani za pamba ambazo zimeishanunuliwa kutoka kwa wakulima hadi wakati huu kuonekana ni ndogo lakini bado wakulima wanaendelea kuuza pamba yao katika vituo vya AMCOS hivyo  kufanya mwaka huu kupiga hatua kubwa kulinganisha na miaka…

10 Agosti 2023, 8:47 mu

Tadio yatoa mafunzo kwa radio za kijamii Zanzibar

Kuchapisha tarifa katika mtandao wa radio TADIO kutaongeza idadi ya wafuatiliaji wa tarifa za radio za kijamii. Na Vuai Juma. Wandishi wa habari wa radio za kijamii Zanzibar wametakiwa  kuitumia fursa ya kutuma kazi zao katika mtandao wa radio tadio…

10 Agosti 2023, 7:41 mu

Mtelela: Wakulima tumieni teknolojia kwenye kilimo

Wakulima kutumia teknolojia ili kukuza kilimo kama vile kujua ukubwa wa mashamba yao. Na Adelinus Banenwa Akifungua kikao kilichowakutanisha wataalam wa halmashauri zote mbili za wilaya ya Bunda katibu tawala wilaya ya Bunda Salumu Mtelela amewataka wakulima kutumia teknolojia ili…

9 Agosti 2023, 2:49 um

Tadio yawapiga msasa waandishi wa habari Zanzibar

Waandishi wa habari Zanzibar wametakiwa kutumia mtandao wa Radio Tadio ili kubadilishana habari. Na Mary Julius Mhariri wa Radio Tadio Tanzania Hilali Ruhundwa amewataka waandishi wa habari zanzibar kuitumia fursa ya mtandao wa radio tadio  katika kuchapisha habari ili kuweza…

9 Agosti 2023, 1:59 um

Wazazi, walezi Tumbatu watakiwa kutoa ushirikiano kwa walimu

Uwepo wa mashirikiano kati ya wazazi na walezi kutaongeza idadi ya ufaulu. Na Latifa Ali Wazazi na walezi wa wanafunzi wanaosoma katika  skuli ya msingi “B” kisiwani tumbatu wameatakiwa  kushirikiana na walimu wa skuli hiyo  ili kuhakikisha  wanafunzi wanasoma  na…

9 Agosti 2023, 8:32 mu

Redio za kijamii Zanzibar kupelekwa kidijitali

Radio za kijamii Zanzibar wamepatiwa mafunzo maalum ya kuweka habari na vipindi kwenye mtandao (Radio Portal) ili kusomwa na kusikika duniani kote. Waandishi wa habari redio za kijamii wametakiwa kutumia mtandao ili kukuza taaluma na kuongeza wasomaji na wasikilizaji. Wito…

9 Agosti 2023, 7:03 mu

Lugonesi, Kasekese wajengewa uwezo

TANGANYIKA Kamati za shule ya msingi Lugonesi na shule ya msingi Kasekese wilayani Tanganyika mkoani Katavi zimejengewa uwezo wa namna ya kusimamia Rasilimali za shule pamoja na utolewaji wa elimu bora kwa wanafunzi. Akizungumza katika kikao cha mafunzo hayo afisa…