Radio Tadio

Elimu

25/08/2023, 15:56

Tamwa Zanzibar yawanoa waandishi wa habari Pemba

Waandishi wa Habari Pemba wanatakiwa kufanya uchunguzi yakinifu kabla ya kurusha hewani habari za  udhalilishaji. Na Is-haka Mohammed Pemba. Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (Tamwa Zanzibar) kimewakumbusha waandishi wa habari juu ya umuhimu wa kuandika habari zenye tija na…

24 Agosti 2023, 15:37

Vyombo visivyokidhi vigezo kuondolewa ziwa Tanganyika

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Mkoa wa Kigoma, Limezindua kampeni ya Operasheni Maboya katika ziwa Tanganyika, ili kubaini Boti zisizo na Vifaa vya Kusafiria Kwa Wavuvi na Abiria ili kuwachukulia hatua za kisheria. Na, Kadislaus Ezekiel Afisa mfawidhi…

21 Agosti 2023, 3:20 um

ZAFELA kuwarudhisha watoto wa kike shule

Jumuiya ya wanasheria wanawake Zanzibar yapania kuwarejesha skuli  watoto wa kike waliokatisha  skuli wakiwa  bado hawajafikia umri wa kumaliza kwa kushirikiana na taasisi za serikali na NGOs. Na Fatma Hamad Asasi za kiraia zimetakiwa kushirikiana kwa pamoja katika kuwajengea uwezo…

18 Agosti 2023, 5:27 um

Madiwani watakiwa kupambania chakula shuleni

Madiwani wamesisitizwa kuhakikisha upatikanaji wa chakula shuleni unazingatiwa. Mkuu wa wilaya ya Igunga Sauda Mtondoo amewataka madiwani kushirikiana na walimu kuhakikisha chakula kinapatikana shuleni ili wanafunzi wapate muda wa kutosha wa kujifunza. Amesema hayo akiwa kwenye kikao cha baraza la…

15/08/2023, 17:35

Maafisa TRA, ZRA wafundwa Zanzibar

Na Ahmed Abdullah Maafisa kodi wa mamlaka ya mapato Zanzibar ZRA na mamlaka ya Mapato Tanzania TRA wametakiwa kuwa na lugha nzuri kwa wateja ili kuwa na mahusiano mazuri baina ya mlipakodi na mamlaka hizo. Naibu kamishna wa Mamlaka ya…