Elimu
September 13, 2023, 2:51 pm
Wazazi Nyahanga wahamasishana ujenzi wa vyoo shuleni
Na Paul Kayanda-Kahama WAZAZI na walezi katika Mtaa was Nyahanga Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga, wameombwa kuhamasika katika suala la uchangiaji wa ujenzi wa choo cha wavula kulingana na upungufu mkubwa uliopo. Kaimu mwenyekiti wa kamati ya shule ya msingi…
13 September 2023, 1:16 pm
Wazazi, walezi watakiwa kuwa karibu na wanafunzi wakati wa mitihani
Wanafunzi wa darasa la saba wanatajia kufanya mitihani kote nchini hivyo jamii imeshauriwa kuwa sehemu ya watoto hao wakati wote ili wanafunzi waweze kufanya vizuri. Na Bahati Obel – Rungwe, Mbeya Wazazi na walezi wilayani Rungwe mkoani Mbeya wametakiwa kuhakikisha…
September 12, 2023, 12:22 pm
mbunge Festo Sanga akabidhi fedha shule ya msingi unenemwa
kutokana na uchakavu wa madarasa katika shule ya msingi unenamwa ilioko kata ya luwumbu mbunge wa jimbo la makete Mh Festo Sanga amekabidhi shilingi laki 5 na elfu sabii. na Lulu Samson MBUNGE wa jimbo la makete mh festo sanga…
12 September 2023, 11:11
Vyombo vya habari vyatakiwa kuibua changamoto katika jamii
Meneja wa radio Baraka Charles Amulike akiwa anatoa msaada wa vifaa vya shule katika shule ya msingi Ilota Mbeya vijijini (picha Hobokela Lwinga) Vyombo vya habari vimekuwa vikiaminiwa kuwa na mchango wa kuibua changamoto mbalimbali katika jamii kutokana na hilo…
12 September 2023, 10:58
Jinsi teknolojia ya habari, inavyo weza kuinua uchumi kwenye vituo vya radio
Wandishi wa habari nyanda za juu kusini,wametakiwa kutumia Radio mtandao ili kufikisha habari kwenye jamii.na kuweza kuwafikia wadau kutoka sehemu mbalimbali nje na ndani ya Tanzania pamoja na kujipambambanua katika masoko ili kuinua uchumi kwenye vyombo vyao vya habari Na…
12 September 2023, 9:49 am
Wahitimu wa mafunzo ya udereva mkoani Katavi watakiwa kufuata sheria za b…
John Shindika Askari wa usalama barabarani kutoka kitengo cha elimu mkoa wa Katavi akitoa mafunzo ya udereva. Tumieni vyema mafunzo mliopatiwa mkiwa darasani Na John Benjamini -Mpanda Wahitimu wa mafunzo ya udereva wa vyombo vya moto mkoani Katavi wametakiwa kufuata…
12 September 2023, 7:27 am
Waandishi wa habari nyanda za juu kusini wanufaika na mafunzo ya Tadio
Mafunzo haya yatawasaidia waandishi wa habari kuwa na uelewa zaidi kidigital kwa kuchapisha Habari ,Makala na kufikisha elimu mbalimmbali kupitia radio tadio Na Anna Millanzi – Mbeya Waandishi wa Habari wa radio jamii nyanda za juu kusini wamepatiwa mafunzo ili…
11 September 2023, 23:27
TADIO yawanoa wahariri, wataalam wa kidijitali mikoa ya Nyanda za Juu Kusini
Katika kuimarisha na kupunguza changamoto zinazoikabili sekta ya habari nchini,TADIO imeendelea kuvijengea uzoefu vyombo vya habari ili kuondokana na mifumo ya analojia na kwenda kidijitali kulingana na mabadiliko ya ulimwengu. Na Hobokela Lwinga Wamiliki wa vyombo vya habari nchini wametakiwa…
September 11, 2023, 9:46 am
Viongozi wa shule wapewa mafunzo ya manunuzi
Walimu wa shule za msingi na sekondari wilayani Nyasa wapatiwa mafunzo kuhusu manunuzi ya umma. Na Sichali Netho Halmashauri ya wilaya ya Nyasa Septemba 9, 2023 imetoa mafunzo ya mfumo wa manunuzi wa umma (NeST) kwa wataalam kutoka shule za…
11 September 2023, 7:54 am
Wanafunzi 6000 Mpanda wataraji kuhitimu darasa la saba
MPANDA Zaidi ya Wanafunzi 6000 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu darasa la saba Manispaa ya Mpanda katika Mtihani Unaotarajiwa kufanyika Sept 13 na 14 mwaka 2023. Akizungumza na Mpanda Radio fm Afisa Elimu Shule za Msingi Manispaa ya Mpanda Godfrey…