Elimu
2 Januari 2024, 17:20
CUCoM sasa ni chuo kikuu
Mwandishi wa Habari Highlands fm Radio Tume ya vyuo vikuu nchini (TCU) imekipa hadhi ya kuwa chuo Kikuu, Chuo cha kanisa Katoliki (Cucom), Kwa sasa kitatambuliwa kama Chuo Kikuu Katoliki Mbeya (CUCoM). Awali chuo hicho kilikuwa kishiriki na chuo cha…
29 Disemba 2023, 10:32 mu
Wadau wa maendeleo wasaidia ujenzi wa madarasa Rungwe
ikiwa shule zinatarajiwa kufunguliwa wadau wa maendeleo nchini wameomba kuunga mkono juhudi za serikali kuboresha miundombinu ya shule Mkurungenzi wa Mwaiteleke foundation [kulia]akizungumza baada ya kukabidhi vifaa vya ujenzi[picha na Lennox mwamakula] RUNGWE-MBEYA Na Lennox mwamakula Ili kukamilisha ujenzi wa…
27 Disemba 2023, 5:48 um
Wazazi watakiwa kuzingatia malezi ya watoto
kwa upande wake afisa elimu mkoa ameahidi kuyafanyia kazi yale yote waliyojadili katika kikao hicho. Na Aisha Alim.Wazazi na walezi wameaswa kuhakikisha watoto wao wanakuwa katika maadili mema kwa kuwaepusha na mambo ambayo hayawezi kuwajenga vyema katika makuzi yao. Hayo…
23 Disemba 2023, 4:35 um
Wadau wa elimu wazungumzia mgawanyiko wa adhabu shuleni
Ni ufunguzi wa mradi wa kuondoa ukatili dhidi ya watoto walioko shuleni ambao unaratibiwa na mtandao wa Elimu TEMNET . Na seleman Kodima. Wadau wa Elimu wamesema kuwa ipo haja ya uwepo wa mgawanyiko wa adhabu kulingana na makosa yanayotendwa…
21 Disemba 2023, 09:56
Madereva wa mabasi ya abiria watakiwa kuzingatia sheria za usalama barabarani
Na Hobokela Lwinga Kuelekea mwisho wa mwaka, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya Kikosi cha Usalama barabarani limewataka madereva wa Mabasi ya Abiria yanayofanya safari mikoa mbalimbali kuzingatia, kufuata na kuheshimu sheria za usalama barabarani ili kuepuka ajali na kuhakikisha…
21 Disemba 2023, 08:23
Abiria fichueni wanaoshabikia mwendokasi
Na Moses Mbwambo,Iringa Mkuu wa Usalama barabarani Mkoa wa Iringa (SSP) Mossi Ndozero amewataka abiria kuacha tabia ya kushabikia mwendokasi na badala yake kufichua wote watakaobainika kuendeleza vitendo hivyo. Ndozero Ametoa kauli hiyo huko Nyigo Wilayani Mufindi, mpakani mwa Iringa…
20 Disemba 2023, 2:31 um
Jiji la Dodoma kutoa milioni 20 katika kituo jumuishi
Kongamano hilo la wadau wa Elimu jumuishi katika Mkoa wa Dodoma limewakutanisha watu mbalimbali wakiwemo maafisa elimu kata ,wazazi ,viongozi wa dini pamoja na wafadhili wa baadhi ya Miradi katika vituo jumuishi vilivyopo jijini hapa huku kauli mbiu katika kongamano…
19 Disemba 2023, 19:58
Elimu kwa mlipa kodi,wananchi wafurahia
Na mwandishi wetu Halmashauri ya wilaya ya rungwe imeanza zoezi la kutoa elimu kwa mlipa kodi lengo likiwa ni kuwajengea uelewa wananchi faida ya kutoa kodi kwa maendeleo ya taifa letu. Katika soko la ndizi mabonde tukuyu mjini leo, wananchi…
18 Disemba 2023, 9:20 um
Bodaboda ni kundi lenye uhitaji mkubwa wa damu
Elimu ya usalama barabarani kwa Bodaboda bado inaendelea jijini Dodoma huku ikigusa mambo mbalimbali ikiwemo uchangiaji damu, huduma ya kwanza na jamii na tayari elimu hii imekwisha wafikia bodaboda takribani 180. Na Mariam Kasawa. Vijana wametakiwa kutambua kuwa usalama barabarani…
18 Disemba 2023, 9:40 mu
Maafisa tarafa, VEO na WEO kusimamia uandikishaji wa wanafunzi Maswa
Zoezi la uandikishaji wa wanafunzi wanaoanza masomo katika mwaka masomo 2024 kwa elimu ya msingi na sekondari lipo chini ya afisa tarafa, watendaji wa kata na vijiji kwa kushirikiana kwa ukaribu na wenyeviti wa vijiji na vitongoji. Na Daniel Manyanga…