Radio Tadio

Elimu

23 June 2026, 1:15 pm

Mkuu wa Wilaya amahasisha mazoezi

Mkuu wa Wilaya ya Hai, Hassan Omary Bomboko amesisitiza umuhimu wa mazoezi kwa afya na maendeleo ya jamii, huku akiwahamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika shughuli za mapokezi ya Mwenge wa Uhuru unaotarajiwa kuwasili wilayani Hai Julai 3, 2026. Na Juma…

21 June 2026, 20:19

Manispaa Kati yaimarisha usafi

Na Hakika Mwinyi. Wananchi wametakiwa kuendelea kudumisha usafi na kutunza mazingira katika maeneo yanayowazunguka, kwa kuwa jukumu hilo ni la kila mmoja na si la Manispaa pekee. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Baraza la Manispaa Kati, Dkt. Mwanaisha Ali…

28 May 2026, 08:55

Mwang’onda: “Tuilinde amani ya nchi”

Na Fredrick Siwale Wananchi Halmashauri ya Mji Mafinga Mkoani Iringa wametakiwa wametakiwa kulinda amani iliyopo Nchini kwani ndio msingi wa kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo. Akizungumza katika mkesha wa Mwenge uliofanyika Uwanja wa Shule ya Msingi Mkombwe Halmashauri ya Mji…

4 May 2026, 07:43

Mwigulu aagiza taasisi za dini kuimarisha amani

“Pasipokuwa na amani, hata malengo binafsi ya mtu mmoja mmoja ya Mtanzania mmoja mmoja hayawezi kufikiwa,” Na Hafidh Ally Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na taasisi za dini nchini ili kuimarisha maadili, mshikamano wa…

1 May 2026, 12:36 am

Walimu na wanafunzi wa shule za sekondari wapewa elimu ya kilimo

Fuateni kanuni bora za kilimo cha bustani ili kuhakikisha uzalishaji endelevu wa mbogamboga pamoja na kuimarisha lishe bora kwa wanafunzi. Na. Abdunuru Shafii Afisa Kilimo kutoka Halmashauri ya Mji Kasulu anayeshughulikia mazao ya bustani Bi. Elina Alphonce amefanya ziara katika…

April 22, 2026, 3:52 pm

Uchimbaji mgodi wa Msasa kuanza baada ya ukaguzi

Shughuli za uchimbaji zitarejea mgodini hapo baada ya ukaguzi wa Wizara ya Madini kukamilika na kwamba Wachimbaji hawanabudi kuwa na subira na utulivu wakati ukaguzi huo. Na Clement Shawishi – GEITA Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigela amesema zoezi…

13 March 2026, 3:05 pm

Uvinza yapokea trekta 19 za kilimo

maafisa ugani kuwa karibu na wakulima kwa kuwapatia elimu na ushauri wa kitaalamu Na. Abdunuru Shafii Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuwekeza katika zana za kisasa za kilimo ikiwemo matrekta makubwa na…

3 March 2026, 11:13 pm

Arusha kuadhimisha siku ya wanawake duniani Machi 05

Wananchi wa jiji la Arusha wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yatakayofanyika kimkoa siku ya Machi 05/2026 katika viwanja vya Ngarenaro mkoani Arusha. Na Mariam Mallya Akizungumza katika Studio za Savvy FM Mratibu wa jinsia…

18 February 2026, 1:28 pm

Lwamgasa Farmers Amcos waendesha harambee ununuzi wa trekta

Chama cha ushirika kimekuwa na fursa mbalimbali ya kuwaunganisha wakulima katika kujadili na kufanya mambo ya kuleta tija kwenye kilimo. Na: Kale Chongela Chama cha ushirika cha Lwamgasa Farmers Amocos Limited kilichopo wilaya ya Geita mkoani Geita kimefanya harambe kwa  ajili…