Radio Tadio

Burudani

Aprili 28, 2026, 6:35 um

Wananchi Buhigwe watengeneza barabara kwa majembe

Juhudi za wananchi kujitolea kutengeneza Barabara hiyo zinaonesha namna walivyo tayari kushirikiana katika kuleta maendeleo ya eneo lao, huku wakiiomba serikali kuunga mkono jitihada hizo. Na Michael Mpunije- Buhigwe, Kigoma Wakazi wa kitongoji cha Janda Juu kata ya Janda wilayani…

24 Aprili 2026, 4:25 um

Tsh. Mil 15 kukarabati barabara korofi Kalangalala

“Naamini ukarabati wa barabara hizo utaondoa usumbufu kwa wananchi wa kata ya Kalangalala na kuwasaidia kufanya shughuli za kiuchumi” – Diwani Reuben Sagayika Na: Ester Mabula Kata ya Kalangalala imeingia mkataba wenye thamani ya shilingi milioni 15 na kampuni ya…

23 Aprili 2026, 13:59

Zaidi ya kaya 200 kata ya Idete zapatiwa vyandarua

Vyandarua hivi mnavyopewa na serikali lengo lake ni kuboresha afya zenu ili kujikinga na Malaria-Bi.Esther Nyasebwa, Mtendaji wa Kata. Na Kuruthum Mkata Mtendaji Kata ya Idete, Halmashauri ya Mlimba Wilayani Kilombero mkoani Morogoro, ameongoza zoezi la ugawaji wa vyandarua kwa…

5 Aprili 2026, 8:03 um

Wananchi wajitolea kuziba maeneo korofi ya barabara

“Hii barabara imekuwa ikitupa usumbufu mkubwa sana kwahiyo imetulazimu kuweka mawe ili kuondoa usumbufu wakati wa kutumia” – Mwananchi Na: Kale Chongela Wananchi wa mtaa wa Nyantorotoro B, kata ya Nyankumbu, halmashauri ya Manispaa ya Geita, wameonesha mshikamano kwa kujitolea kushiriki…

16 Machi 2026, 10:20

Moto wateketeza maduka 20 ya wajasiriamali Iringa

Moto huo ulitekekeza bidhaa za wajasiriamali ambazo bado thamani yake haijawekwa wazi. Na Hafidh Ally Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijafahamika umeteketeza maduka 20 ya wafanyabiashara wa bidhaa za kitalii katika eneo la Garden lililopo Manispaa ya Iringa na…

26 Febuari 2026, 3:47 um

Wakazi walia miundombinu duni msimu wa mvua

Licha ya mvua kuleta neema kwa wakulima , hali imekuwa tofauti kwa wakazi wa Nyatorotoro B, kata ya Nyankumbu wilayani na mkoani Geita kwani wanalazimika kulala wakiwa wamesimama. Na: Ester Mabula Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini, Wakazi wa…

17 Febuari 2026, 6:07 um

Mbunge atimiza ahadi ya kununua mitambo ya barabara

Pichani ni Mbunge wa Jimbo la Chato kusini Mhe. Paschal Lutandula “Siwezi kuona wananchi wangu wa Chato kusini wanateseka na miundombinu mibovu ya barabara, na ndiyo maana nilisema ndani ya siku zangu 100 nitaleta mitambo na nimetimiza” – Mbunge Lutandula…

17 Febuari 2026, 7:52 mu

Mbunge awapongeza wananchi kwa kujitoa kutengeneza barabara

Mbunge jimbo la Geita mjini, mkoani Geita, Chacha Wambura amewapongeza wananchi kwa kujitoa kutengeneza miundombinu ya barabara huku akisema “katika kipindi cha uongozi wangu nitahakikisha barabara hii inatengenezwa kwa ubora zaidi ili kuondoa changamoto” Na: Ester Mabula Wananchi wa Kata…

15 Febuari 2026, 11:38 mu

Mbunge Geita mjini afanyia kazi kero ya barabara

“Nataka niseme kuanzia siku ya Jumanne, barabara zitaanza kufanyiwa matengenezo ili kero hii iweze kuondoka kwa wananchi wa eneo hili kwani serikali ya Rais Samia imetupa fedha kwaajili ya kukarabati miundombinu” – Mbunge Geita mjini, Chacha Wambura Na: Ester Mabula…