Burudani
23 April 2026, 13:59
Zaidi ya kaya 200 kata ya Idete zapatiwa vyandarua
Vyandarua hivi mnavyopewa na serikali lengo lake ni kuboresha afya zenu ili kujikinga na Malaria-Bi.Esther Nyasebwa, Mtendaji wa Kata. Na Kuruthum Mkata Mtendaji Kata ya Idete, Halmashauri ya Mlimba Wilayani Kilombero mkoani Morogoro, ameongoza zoezi la ugawaji wa vyandarua kwa…
5 April 2026, 8:03 pm
Wananchi wajitolea kuziba maeneo korofi ya barabara
“Hii barabara imekuwa ikitupa usumbufu mkubwa sana kwahiyo imetulazimu kuweka mawe ili kuondoa usumbufu wakati wa kutumia” – Mwananchi Na: Kale Chongela Wananchi wa mtaa wa Nyantorotoro B, kata ya Nyankumbu, halmashauri ya Manispaa ya Geita, wameonesha mshikamano kwa kujitolea kushiriki…
16 March 2026, 10:20
Moto wateketeza maduka 20 ya wajasiriamali Iringa
Moto huo ulitekekeza bidhaa za wajasiriamali ambazo bado thamani yake haijawekwa wazi. Na Hafidh Ally Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijafahamika umeteketeza maduka 20 ya wafanyabiashara wa bidhaa za kitalii katika eneo la Garden lililopo Manispaa ya Iringa na…
26 February 2026, 3:47 pm
Wakazi walia miundombinu duni msimu wa mvua
Licha ya mvua kuleta neema kwa wakulima , hali imekuwa tofauti kwa wakazi wa Nyatorotoro B, kata ya Nyankumbu wilayani na mkoani Geita kwani wanalazimika kulala wakiwa wamesimama. Na: Ester Mabula Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini, Wakazi wa…
17 February 2026, 6:07 pm
Mbunge atimiza ahadi ya kununua mitambo ya barabara
Pichani ni Mbunge wa Jimbo la Chato kusini Mhe. Paschal Lutandula “Siwezi kuona wananchi wangu wa Chato kusini wanateseka na miundombinu mibovu ya barabara, na ndiyo maana nilisema ndani ya siku zangu 100 nitaleta mitambo na nimetimiza” – Mbunge Lutandula…
17 February 2026, 7:52 am
Mbunge awapongeza wananchi kwa kujitoa kutengeneza barabara
Mbunge jimbo la Geita mjini, mkoani Geita, Chacha Wambura amewapongeza wananchi kwa kujitoa kutengeneza miundombinu ya barabara huku akisema “katika kipindi cha uongozi wangu nitahakikisha barabara hii inatengenezwa kwa ubora zaidi ili kuondoa changamoto” Na: Ester Mabula Wananchi wa Kata…
15 February 2026, 11:38 am
Mbunge Geita mjini afanyia kazi kero ya barabara
“Nataka niseme kuanzia siku ya Jumanne, barabara zitaanza kufanyiwa matengenezo ili kero hii iweze kuondoka kwa wananchi wa eneo hili kwani serikali ya Rais Samia imetupa fedha kwaajili ya kukarabati miundombinu” – Mbunge Geita mjini, Chacha Wambura Na: Ester Mabula…
3 February 2026, 09:09
Ofisi ya DC Maswa yaunda kamati ya kusikiliza migogoro ya wananchi
Utawala wa sheria ndio nguzo muhimu katika kuleta Ustawi na Maendeleo kwa Nchi, hivyo Mahakama ina mchango mkubwa ” Enos Missana Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Mkoani Simiyu imeunda kamati maalumu kwa ajili ya kusikiliza na kutatua kero na Migogoro mbalimbali ili…
30 January 2026, 12:59
Ulinzi mkali Yanga ikivaana na Al Ahly New Amaan Complex
Na Mary Julius. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi limesema limejipanga kikamilifu kuhakikisha ulinzi na usalama vinaimarishwa kabla, wakati na baada ya mchezo wa kimataifa wa mpira wa miguu wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, CAF.…
26 January 2026, 5:42 pm
Matukio ya watu kufa mto Buluhe Mbogwe sasa basi
Kutokana na mvua za El nino zilizonyesha siku za nyuma serikali imetumia zaidi ya shilingi bilioni 500 kukabiliana na athari za uharibifu huo katika maeneo mbalimbali nchini. Na Mrisho Sadick: Wakazi wa Kata ya Iponya wilayani Mbogwe mkoani Geita wameishukuru…