Radio Tadio

Burudani

16 July 2025, 11:26

INEC yawataka maafisa kuzingatia sheria, maadili

“Maafisa wa uchaguzi wametakiwa kufuata misingi ya kikatiba na kisheria ili kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki,” amesema Balozi Mapuri, katika mafunzo yaliyofanyika Mtwara yakiongozwa na INEC Julai 15, 2025 NA Musa Mtepa Maafisa wa usimamizi wa uchaguzi wametakiwa kufuata…

10 July 2025, 8:29 pm

Shilabela waanzisha ujenzi wa ofisi ya mtaa

Zaidi ya miaka 25 serikali ya mtaa wa Shilabela Manispaa ya Geita imekuwa ikiishi katka ofisi za kupanga katika majumba ya watu. Na Kale Chongela: Wakazi wa mtaa wa Shilabela Manispaa ya Geita wameamua kuanzisha ujenzi wa ofisi ya kudumu…

11 June 2025, 3:38 pm

Wazazi/walezi msiwaite watoto majina ya wanyama

Mkuu wa dawati la jinsia na watoto Katavi Judith Mbukwa. Picha na Anna Mhina “Jinsi mtoto anavyotukanwa ndivyo atakavyokuwa” Na Roda Elias Kutokana na uwepo wa baadhi ya wazazi  na walezi wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi kutumia lugha ya…

8 June 2025, 2:57 pm

Wananchi wafunguka ujenzi stendi mpya Geita

Baada ya kusota kwa miaka mingi hatimaye wakazi wa Geita mjini wanakwenda kupata stendi mpya ya kisasa ya mabasi. Na Mrisho Sadick: Watumiaji wa kituo kikuu cha mabasi ya abiria Mkoa wa Geita wameishukuru serikali kwa kutoa fedha kiasi cha…

8 May 2025, 13:56

Kilio kisichosikika utelekezaji watoto Kigoma

Kwa mujibu wa Takwimu za Ofisi ya Ustawi wa Jamii, kati ya mwezi March hadi April mwaka 2025 pekee kuna zaidi ya watoto 150 walitelekezwa katika Wilaya ya Kigoma. Hii leo wengi wa watoto hawa wanaishi mtaani, hawawajui wazazi wao…