Radio Tadio

Burudani

2 October 2025, 11:39

Wananchi wahimizwa kujitokeza kupiga kura Oktoba 29, 2025

Watanzania wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, 2025, kuchagua viongozi watakaosimamia maendeleo ya taifa. Wito umetolewa na Nabii Nicolous Suguye wakati wa ziara yake kwenye vituo vya watoto wenye mahitaji maalum, akisisitiza umuhimu wa ushiriki wa wananchi katika…

1 October 2025, 6:22 pm

wazazi watakiwa kuchangia chakula kwa wanafunzi

Picha Na Joyce Elias Wazazi wa watoto wanaosoma katika shule ya msingi terrat wilaya ya simanjiro wamehimizwa kushirikiana na uongozi wa shule kuboresha huduma za chakula kwa wanafunzi. Akizungumza Katika kikao cha wazazi na uongozi wa shule hiyo Mwenyekiti wa…

26 September 2025, 11:03

THBUB yatoa mafunzo kwa wanahabari Mtwara

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imetoa mafunzo kwa waandishi wa habari mkoani Mtwara, ikiwataka kuzingatia maadili ya taaluma, haki za binadamu na misingi ya utawala bora, hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Waandishi wameahidi kutumia mafunzo…

26 September 2025, 9:07 am

EFAD yagusa maisha ya watoto Songwe

Kupunguza utoro shuleni na kuongeza utulivu wa watoto shuleni Na Devi Mgale Shirika lisilokuwa la kiserikali la Elisha Youth Support Foundation (EFAD) lililopo wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe limetoa kilo 420 za Mahindi kwa watoto wanaoishi mazingira magumu katika…

26 August 2025, 20:06

Wahitimu darasa la saba watakiwa kuepuka makundi maovu

Kutokana na maendeleo ya sayansi na tekinolojia baadhi ya makundi ya vijana wamekuwa wakitumia maendeleo hayo kwa mlengo chanya na hasi. Na Hobokela Lwinga Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi, Robert Pangani, amewataka wanafunzi wahitimu Darasa…

18 August 2025, 12:57

Wanachama CCM Msimbati watishia kujiondoa uanachama

Wanachama zaidi ya 150 wa CCM Msimbati wamelalamikia kuondolewa kwa jina la Rashidi Linkoni aliyeshinda kura za maoni, wakitishia kurudisha kadi zao, huku viongozi wa wilaya wakisisitiza maamuzi ya kamati ya siasa Na Musa Mtepa Zaidi ya wanachama 150 wa…

15 August 2025, 16:28

Wanahabari watakiwa kuzingatia weledi uchaguzi mkuu

Mafunzo kwa waandishi wa Jamii FM Redio yamewahimiza kuzingatia weledi, usalama kazini na kujikinga na uhalifu mtandaoni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 Na Musa Mtepa Waandishi wa habari wametakiwa kuwa makini na kuzingatia weledi wa taaluma yao, hususan…

18 July 2025, 11:08

“Zingatieni sheria na kanuni za uchaguzi”Sesilia Sepanjo

Wasimamizi wa uchaguzi Lindi na Mtwara wamehimizwa kuzingatia Katiba, sheria na kanuni kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Mafunzo ya siku tatu yamehitimishwa Mtwara, yakilenga kuwajengea uwezo. Washiriki wameahidi kuwa mabalozi wa elimu hiyo kwa wenzao Na Musa Mtepa Wasimamizi na waratibu…