Radio Tadio

Burudani

22 April 2025, 9:45 am

Daniel akamatwa na nguzo ya wizi Nyantorotoro B

Licha ya serikali kutoa wito kwa wananchi kutunza miundombinu mbalimbali katika maeneo yote, bado baadhi ya wananchi wanahujumu miundombinu hiyo. Na: Kale Chongela: Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Daniel Robert mkazi wa mtaa wa Nyantorotoro A, kata ya Nyankumbu katika halmashauri…

13 April 2025, 1:56 pm

Ubovu wa barabara hospitali Katoro

Ubovu wa barabara ya kwenda katika hospitali ya Katoro wawaibua wananchi wa kata za Katoro na Ludete wawaibua wananchi Na Mrisho Sadick: Wakazi wa Kata ya Ludete mamlaka ya mji mdogo wa Katoro wilayani Geita wameiomba serikali kuchukua hatua za…

11 April 2025, 2:43 pm

Wajasiriamali Mpomvu wapongeza uboreshwaji wa soko

Soko la Mpomvu linatumiwa na wakazi wa kata ya Mtakuja yenye idadi ya wakazi wapatao 26,676 kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi iliyofanyika mwaka 2022. Na: Kale Chongela: Wajasiriamali waliopo katika mtaa wa Mpomvu kata ya Mtakuja katika halmashauri…

8 April 2025, 12:49 pm

Wakazi wa kitongoji cha Mhama walia na ubovu wa barabara

Kufuatia mvua zinzoendelea kunyesha katika baadhi ya maeneo nchini, zimepelekea changamoto ya miundombinu ya barabara katika baadhi ya maeneo mkoani Geita. Na: Ester Mabula: Wananchi wa kitongoji cha Mhama, Kijiji cha Nampangwe, kata ya Runzewe-mashariki  wilayani Bukombe mkoani Geita wameiomba…

28 March 2025, 4:52 pm

Wasira: Wajumbe chagueni wagombea wanaokubalika kwa wananchi

”Utaratibu wa sasa katika kura za maoni CCM, wajumbe wameongezeka ili kuweza kupata viongozi wanaokubalika kwa wananchi” Na Sebastian Mnakaya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amewataka wanachama wa chama hicho wanapoelekea katika uchaguzi mkuu unaotarajia…

27 March 2025, 10:42 am

Wasira: Viongozi tatueni na kusikiliza kero za wananchi

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira akizungumza na wanancha wa CCM mkoa wa Shinyanga ”Wajibu wa viongozi wa chama hicho ni kutatua shida za Wananchi hususani wa Bodaboda, Wanawake wajasiriamali na Wakulima, CCM sio chama cha…

27 March 2025, 10:24 am

Wananchi watakiwa kuunga mkono ajenda za viongozi wa CHADEMA

Wananchi watakiwa kuunga mkono ajenda mbalimbali zinazoletwa na CHADEMA katika kuelekea Uchaguzi mkuu mwaka huu 2025 Na Sebastian Mnakaya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Serengeti kimewataka wananchi kuungana na Viongozi wa Chama hicho katika ajenda ambazo ni…

25 March 2025, 5:58 pm

Vijana jitokezeni katika kugombea nafasi mbalimbali za uongozi

Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi oktoba mwaka huu 2025, vijana wengi wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika kushirik na kugombea nafai mbalimbali za uongozi Na Sebastian Mnakaya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinuzi (UVCCM) mkoani…

16 March 2025, 4:41 pm

Marufuku kufukuzwa CCM Shinyanga bila ya kuzingatia kanuni

”Hakuna mwanachama yeyote kusimamishwa ama kufukuzwa kwenye chama bila ya kuzingatia taratibu na kanuni za chama” Na Sebastian Mnakaya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga kimewataka viongozi mbalimbali wa chama hicho kusitisha kuwafunguza uwanachama na kuwasimisha katika nafasi mbalimabli…