Biashara
6 February 2023, 10:33 am
Serikali kuimarisha sheria ya kodi
Tunaomba kuboreshwe kwa baadhi ya sheria za kodi hapa Nchini ambazo zinawabana wafanyabiashara. Na Joyce Buganda Serikali imeombwa kuendelea kuzingatia upya sheria za kodi ili kuimarisha uzalendo na ulipaji kodi wa hiari. Hayo yamezungumzwa na naibu katibu Mkuu wa Jumuiya…
3 February 2023, 12:35 pm
Vijana jijini Dodoma watakiwa kushiriki katika fursa
Vijana jijini dodoma wametakiwa kushiriki katika fursa mbalimbali zinazowazunguka na kuacha kuona aibu kufanya shughuli hizo ili waweze kupata kipato na kurahisisha shughuli za maisha. Na Thadei Tesha Hayo yamesemwa na baadhi ya Vijana ambao wanajishughulisha na shughuli ya kukaanga…
23 January 2023, 12:43 pm
Makala ya Mazingira.
Na; Leonard Mwacha. Leonard mwacha leo amelitazama soko la samaki wabichi Bonanza.
11 December 2022, 6:51 pm
HOFU YA JANGA LA NJAA WAKULIMA WATAHADHARISHWA RUANGWA
Wakulima wabnaohudumiwa na chama kikuu cha Ushirika RUNALI kinachohudumu katika wilaya za Ruangwa,Nachingwea na Liwale mkoani Lindi, wametakiwa kutumia pesa zao za korosho kununua chakula na kuhifadhi kutokna na uwapo wa dalili ya janga la njaa lililosabishwa na ukame kwa…
24 November 2022, 15:00 pm
TRA Mtwara yavuka malengo makusanyo Julai-September 2022
Na Gregory Millanzi. MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA ) Mkoa wa Mtwara imevuka lengo la kukusanya Shilingi Bilioni 8.902 kati ya Julai na Septemba 2022 ikiwa sawa na asilimia 110 .67 ya lengo la kukusanya Shilingi Bilioni 8.043 kwa Kipindi…
16 November 2022, 12:19 pm
Ukubwa wa riba kikwazo kwa wakopaji mikopo
Na; Eva Enock. Imeelezwa kuwa ukubwa wa riba pamoja na elimu juu ya matumizi sahihi ya fedha za mikopo ni miongoni mwa sababu zinazopelekea baadhi ya watu kushindwa kurejesha mikopo. Hayo yameelezwa na baadhi ya wananchi jijini Dodoma wakati wakizungumza…
3 November 2022, 5:58 am
Wanawake Mkoani Katavi Wameeleza Walivyonufaika na Wiki ya Mwanakatavi
KATAVI Baadhi ya wanawake wajasiliamali mkoani Katavi wameeleza namna ambavyo wamenufaika na maonesho ya wiki ya Mwanakatavi yanayolenga kuhamasisha kilimo na Utalii. Wakizungumza wakati wa maonesho hayo wajasiliamali hao wamesema maonesho hayo licha ya kuwanufaisha kibiashara pia wanapata nafasi ya…
3 November 2022, 5:35 am
Diwani Mpanda Hotel Aomba Kurejeshwa kwa Utaratibu wa Maegesho Mpanda Hotel.
MPANDA Diwani wa kata ya Mpanda Hotel Hamis Misigalo ameiomba halmashauri ya Manispaa ya Mpanda kurejesha utaratibu wa Magari ya abiria kusimama dakika tatu katika kituo cha maegesho ya magari Mpanda Hotel. Akizungumza katika Mkutano wa Tatu wa baraza la…
20 October 2022, 5:11 am
Wafanyabiashara Kilimahewa Waomba Kuboreshewa Miundombinu
MPANDA Wafanyabiashara wa soko la kilimahewa Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameuomba uongozi wa halamshauri hiyo kuboresha miundombinu katika soko jipya la kawalioa. Wakizungumza na Mpanda fm wafanyabiashara hao wamesema kuwa licha ya kuwepo kwa taarifa ya kuhamia katika soko…
14 October 2022, 5:51 am
Wajasiriamali Walalamikia Wateja Wasiowaaminifu
MPANDA Wajasiriamali Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamelalamikia Tabia isiyofaa inayofanywa na baadhi ya wateja ya kuchukua bidhaa kwa mkopo na kuchelewa kuwalipa jambo ambalo linarudisha nyuma maendeleo yao kiuchumi. Wakitoa malalamiko hayo wakati wakizungumza na kituo hiki wajasiliamali…