Biashara
12 May 2023, 18:00
Brela yawapiga msasa maafisa biashara mikoa 10
Na Msafiri Kipila Wakala wa leseni za biashara Brela wameendesha mafunzo ya siku 3 kwa maafisa biashara wa mikoa 10 ya kanda ya kusini na nyanda za juu kusini, yamefanyika hapa mkoani Mtwara lengo ikiwa ni kutatua changamoto zinazo wakabili.Wakizungumza…
8 May 2023, 16:54
Bei ya kabichi shambani yawaliza wafanyabiashara
kwa sasa wastani wa bei ya kabichi ni kuanzia shilingi 1500 hadi 2000 huku wachache wakiuza kwa bei kati ya shilingi 1000 hadi 1500 kwa kabichi moja. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara wa Mboga mboga aina ya kabichi Jijini…
5 May 2023, 16:38
Wafanyabishara Maisha plus waiomba serikali kufanya ukarabati
Baadhi ya wafanyabiashara wanasema kuwa viongozi hao wamekuwa wakiahidi kupatia ufumbuzi baadhi ya changamoto hizo bila ya kutekeleza ahadi hizo. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara wa matunda na mbogamboga katika soko la maisha plus jijini Dodoma wameiomba serikali kufanya…
5 May 2023, 11:57 am
“Wafanyabiashara wa Mafuta ya mawese zingatieni matumizi sahihi ya vipimo&…
Na glory Kusaga Wafanyabiashara wa Mkoa wa Kigoma hususani wauzaji wa Mafuta ya mawese wameaswa kuzingatia matumizi sahihi ya vipimo na kuacha kutumia kipimo cha bidoo kwani siyo kipimo sahihi na kinafanya Serikali kushindwa kukusanya kodi kwa usahihi na kufanya…
4 May 2023, 8:42 am
Wajasiriamali zaidi ya 100 wapata hasara.
Na Kale Chongela: Zaidi ya Wajasiriamali 100 waliopo njia panda mamlaka ya mji mdogo wa Katoro wilaya ya Geita na mkoani Geita wameacha biashara hiyo kutokana na mzunguko kuwa mdogo. Hayo yamebainishwa na mwenyekiti wa umoja wa wajasiriamali waliopo katika…
28 April 2023, 16:52
Wafanyabiashara Soko kuu Majengo kutembelea hospitali ya Mkoa wa Dodoma
Amesema kutoa mahitaji kwa wagonjwa ni moja ya njia sahihi ya kurudisha fadhila kwa jamii kwa kufanya matendo ya huruma. Na Thadei Tesha. Wafanyabiashara katika soko kuu Majengo jijini Dodoma wanatarajia kutembelea na kutoa mchango wa vyakula kwa wagonjwa katika…
27 April 2023, 18:42
Wajasiriamali waeleza kunufaika na wiki ya ubunifu
Katika maenesho hayo dodoma tv imeshuhudia bidhaa mbalimbali ambazo zimebuniwa na wajasiriamali pamoja na wanafunzi wabunifu kutoka katika tasisi mbalimbali ambapo wanatumia fursa hiyo katika kuzionyesha kwa jamii katika maonesh ya wiki ya ubunifu maarufu kama MAKISATU. Na Thadei Tesha.…
25 April 2023, 14:23
Wafanyabishara walia na bei ya viazi mbatata
Kwa sasa wastani wa bei ya viazi mbatata ni kati ya shilingi 90000 kutoka wastani wa shilingi 60000-70000 kwa gunia. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara katika soko kuu la majengo jijini Dodoma wameelezea namna wanavyoathirika kutokana na kupanda kwa…
25 April 2023, 12:43
Wahitimu wa mafunzo SIDO watakiwa kuzalisha bidhaa bora
Awali kulitanguliwa na mafunzo y utengenezaji Sabuni na Batiki kama anavyobainisha Mkufunzi wa mafunzo hayo. Na Alfred Bulahya. Zaidi ya wahitimu 350 wa mafunzo ya usindikaji wa Vyakula na matunda wamehitimu mafunzo hayo yanayotolewa na shirika la kuhudumia viwanda vidogo…
24 April 2023, 14:26
Wananchi waomba kupatiwa elimu ya uwekezaji
Mara kadhaa vijana wamekuwa wakilalamikia kukosa fursa za kujikwamua kiuchumi ambapo moja ya changamoto kubwa ni ukosefu wa elimu juu ya kuzitambua fursa hizo. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wananchi jijini Dodoma wameiomba serikali kutoa elimu zaidi kwa wananchi juu…