Biashara
22 March 2023, 19:02
Vijana waomba viongozi kutembelea maeneo yao ya kazi
Baadhi ya vijana wanaojishughulisha na shughuli ya kuponda kokoto katika mtaa wa kisasa Dodoma wametoa ushauri kwa viongozi mbalimbali kutembelea maeneo yao ya kazi. Na Thadei Tesha. Baadhi ya vijana wanaojishughulisha na shughuli ya kuponda kokoto katika mtaa wa kisasa…
21 March 2023, 18:12
Ubuyu ni fursa kwa wafanyabiashara
Kwa mujibu wa wa wataalamu wa afya ubuyu ni tunda jamii ya adonsonia ambapo umekuwa na matumizi mbalimbali kwani wapo baadhi yao hutumia kama juisi na wengine huongezea thamani kwa kutengenezea bidhaa mathalani kashata au ubuyu wa rangi. Na Thadei…
20 March 2023, 17:35
Wananchi wahofia bidhaa kupanda bei mwezi mtukufu
Baadhi ya wananchi jijini dodoma wameeleza namna hali ilivyo juu ya upatikanaji wa bidhaa za vyakula masokoni kuelekea mwezi wa ramadhani. Na Thadei Tesha. Kuelekea maandalizi ya mwezi mtukufu wa ramadhani baadhi ya wananchi jijini dodoma wameeleza namna hali ilivyo…
16 March 2023, 08:36
Wafanyabiashara Sabasaba walia na ugumu wa biashara
Awali daldala za jiji la dodoma zilikuwa na kituo kikuu katika soko la sabasaba kabla ya kuhamishiwa kituo katika soko jipya la machinga complex. Na Thadei Tesha. Zikiwa zimepita wiki chache tangu kuhamishwa kwa daldala katika eneo la sabsaba jijini…
13 March 2023, 11:37
Wamiliki wa kumbi za starehe watakiwa kuzingatia sheria
Hii inajiri kufuatia kuwepo kwa baadhi ya malalamiko ya wanachi ya jijini la dodoma kuhusu baadhi ya kumbi za starehe ambazo nyingi zipo katika makazi ya watu kupiga mziki kwa sauti ya juu na kusasbabisha kero kwa wanachi. Na Fred…
10 March 2023, 16:10
Biashara ya matunda na mbongamboga kuwa mkombozi wa kiuchumi
Biashara ya matunda na mbongamboga katika soko la kizota imetajwa kuwa mkombozi wa kiuchumi kwa baadhi ya wakina mama. Na Thadei Tesha. Biashara ya matunda na mbongamboga katika soko la kizota imetajwa kuwa mkombozi wa kiuchumi kwa baadhi ya wakina…
9 March 2023, 15:28
Kituo kidogo cha daladala chatajwa kutoa fursa mbalimbali
Kituo kidogo cha daladala katika eneo la swaswa mnarani jijini dodoma imetajwa kuwa na fursa kubwa kwa baadhi ya wakazi wa eneo hilo kujipatia kipato. Na Thadei Tesha. Uwepo wa kituo kidogo cha daladala katika eneo la swaswa mnarani jijini…
4 March 2023, 5:27 pm
Bado wazazi wana wajibu wa kuibua vipaji vya watoto wao
KATAVI Baadhi ya wazazi mkoani katavi wamesema wanao wajibu wa kuwapa nafasi watoto kushiriki katika michezo ili kuibua vipaji walivyo navyo watoto na kuviendeleza ili viweze kuwa msaada kwa maisha ya baadae ya mtoto. Wakizungumza na mpanda redio fm wamesema…
3 March 2023, 13:14
Wauzaji wa gesi watakiwa kuwa na mizani ya Vipimo
Hayo ameyasema leo wakati akifungua mafunzo ya wafanyabishara wa gesi za kupikia yaliyoandaliwa na wakala wa Vipimo mkoa wa Dodoma ambapo amewataka wakala huo kuhakikisha baada ya siku 60 wafanyabiashara wa gesi za kupikia wanakuwa na mizani ya vipimo sahihi.…
27 February 2023, 13:17
Baadhi ya wafanyabiashara waeleza jinsi wanavyonufaika
Baadhi ya wafanyabiashara wa matunda katika soko la sabasaba jijini dodoma wameelezea namna wanavyonufaika na biashara ya kuuza matunda. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara wa matunda katika soko la sabasaba jijini dodoma wameelezea namna wanavyonufaika na biashara ya kuuza…