Radio Tadio

Biashara

22 February 2023, 16:40

Wafanyabiashara wa mbogamboga na matunda waomba eneo la soko

Wafanyabiashara wa matunda na mbogamboga wilayani Bahi mkoani Dodoma wameiomba serikali wilayani humo kuwatengea eneo rasmi la kufanyia biashara. Na Bernad Magawa. Wafanyabiashara wa matunda na mbogamboga wilayani Bahi mkoani Dodoma wameiomba serikali wilayani humo kuwatengea eneo rasmi la kufanyia…

20 February 2023, 18:09

Madereva kirikuu walalamika kutozwa faini mara kwa mara

Gari ndogo aina ya kirikuu zimekuwa zikifanya shughuli zao katika maeneo mbalimbali jijini hapa ambapo shughuli hiyo imekuwa ikiwasaidia kwa kiasi kikubwa katika kupata fursa mbalimbali na kuendesha shughuli zao za kimaisha. Na Thadei Tesha. Madereva wa gari ndogo za …

20 February 2023, 11:18

Kusajili alama ya bishara kumetajwa kuwa na umuhimu mkubwa

Kusajili alama ya bishara kumetajwa kuwa na umuhimu mkubwa katika kusaidia kuchangia ongezeko la wafanyabiashara kujitangaza zaidi na kukuza biashara zao. Na Thadei Tesha. Hii ni kwa mujibu wa baadhi ya wafanyabiashara jijini dodoma ambapo wamesema upo umuhimu mkubwa kwa…

10 February 2023, 12:29 pm

Wafanyabiashara Wapongeza Ukaguzi wa Mizani

KATAVI Wafanyabiashara Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamepongeza zoezi la ukaguzi wa mizani Wanazotumia katika biashara. Wakizungumza na Mpanda radio Fm wafanyabiashara hao Wakati wa zoezi la ukaguzi katika ofisi za kata ya Makanyagio likiendelea wamesema zoezi la ukaguzi wa…

7 February 2023, 12:39

Wafanyabiashara walalamikia hali ya soko Ihumwa

Wafanyabiashara katika soko la ihumwa jijini dodoma wameiomba serikali kutengeneza miundombinu ya soko hilo kutokana na eneo wanalotumia kwa sasa kutokutosheleza mahitaji. Na Thadei Tesha. Ni katika soko la ihumwa jijini dodoma ambapo baadhi ya wafanyabiashara katika soko hili wanasema…

6 February 2023, 10:33

Serikali kuimarisha sheria ya kodi

Tunaomba kuboreshwe kwa baadhi ya sheria za kodi hapa Nchini ambazo zinawabana wafanyabiashara. Na Joyce Buganda Serikali imeombwa kuendelea  kuzingatia upya  sheria za kodi ili kuimarisha uzalendo  na ulipaji kodi wa hiari. Hayo yamezungumzwa na naibu katibu Mkuu wa  Jumuiya…

3 February 2023, 12:35

Vijana jijini Dodoma watakiwa kushiriki katika fursa

Vijana jijini dodoma wametakiwa kushiriki katika fursa mbalimbali zinazowazunguka na kuacha kuona aibu kufanya shughuli hizo ili waweze kupata kipato na kurahisisha shughuli za maisha. Na Thadei Tesha Hayo yamesemwa na baadhi ya Vijana ambao wanajishughulisha na shughuli ya kukaanga…