Radio Tadio

Biashara

08/08/2023, 17:06

Wajasiriamali waeleza kunufaika na elimu ya biashara

Shirika la Wanawake na Uchumi wa Viwanda Wauvi limekuwa mnyororo wa kuwakutanisha wajasiriamali mbalimbali na kuwapa elimu juu ya ujasiriamali na namna ya kukabiliana na masoko ya kiuchumi. Na Yussuph Hassan.Wajasiriamali kutoka maeneo mbalimbali Dodoma wanajivunia mafanikio mbalimbali kupitia elimu…

02/08/2023, 13:50

Waendesha vyombo vya moto walia ongezeko bei ya mafuta

Siku chache zilizopita ilitokea changamoto ya uhaba wa mafuta ya petroli na dizeli mkoani Geita na Tanzania, licha ya Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba kuthibitishiwa kuwepo kwa mafuta ya kutosha kwenye maghala ya kuhifadhia mafuta nchini. Na Zubeda Handrish-…

02/08/2023, 13:36

Vijana sokoni Majengo waeleza kunufaika na ubebaji mizigo

Wanasema kazi hiyo inawasaidia kujiingizia kipato chao cha kila siku na kuwasaidia kujikwamua kiuchumi. Na Aisha Shaban. Baadhi ya vijana wanaojishughulisha na shughuli ya kubeba mizigo kwa kutumia mikokoteni wameeleza namna shughuli hiyo inavyowasaidia kuendesha shughuli zao na kujikwamua kiuchumi.…

02/08/2023, 09:13

Wachimbaji watakiwa kuacha kutunza fedha kwenye mabegi

Baadhi ya wachimbaji wadogo wamekuwa na utamaduni wa kuweka pesa ndani, jambo linalotishia usalama wa fedha zao na fursa hiyo kutumiwa na benki ya TCB huku ikija na mpango wa mikopo nafuu kwa wachimbaji. Serikali mkoani Geita imewataka wachimbaji wadogo…

31 Julai 2023, 15:32

Serikali yatakiwa kumsimamia mkandarasi bandari ziwa Tanganyika

Serikali imetakiwa kumsimamia mkandarasi anayejenga mradi wa bandari ya ziwa Tanganyika ili kurahisisha usafirishaji wa bidhaa. Na, Tryphone Odace Wananchi mkoani Kigoma pamoja na wafanyabiashara wanaosafirisha bidhaa katika nchi jirani, wameiomba serikali kumsimamia mkandarasi anayejenga miradi ya bandari katika ziwa…

28 Julai 2023, 15:40

Wilaya ya Kibondo yaanza kuwasajili wafanyabiashara wa mazao

Wafanyabiashara wilayani Kibondo mkoani Kigoma wametakiwa kurasimisha taarifa za biashara za mazao wanazofanya ili waweze kutambulika na Wizara ya Kilimo Na, Tryphone Odace Halmashauri ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma imeanza zoezi la usajili wa wafanyabiashara wa mazao na wenye…

25/07/2023, 13:26

Wawekezaji wazidi kuongezeka Dodoma

Watu mbalimbali wanakaribishwa kuwekeza katika jiji la Dodoma kwani kuna fursa mbalimbali za uwekezaji. Na Thadei Tesha. Kufuatia kukua kwa jiji la Dodoma pamoja na ongezeko la watu kumepelekea wawekezaji mbalimbali kupata fursa ya kuwekeza katika maeneo mbalimbali ya mkoa…

18/07/2023, 18:30

Wananchi waeleza umuhimu na faida za vikundi

Baada ya kuwepo kwa mfululizo wa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa kujiunga katika vikundi mbalimbali vya kuweka na kukopa sasa wananchi wameelewa umuhimu wa vikundi hivyo . Na Aisha Shaban. Baadhi ya wananchi jijini Dodoma wameeleza juu ya…

18 Julai 2023, 11:23

Wananchi wametakiwa kununua vipodozi kwenye maduka yaliyoruhusiwa

Shirika la viwango Tanzania TBS limesema litaendelea kuwachukulia hatua wafanyabiashara wanaouza bidha zilizopigwa marufuku ili kuepusha matumizi ya vipodozi visivyokidhi viwango kutumika kwa wananchi. Na, Lucas Hoha Wananchi Mkoani Kigoma wametakiwa kununua vipodozi kwenye maduka ambayo yameruhusiwa na wahakikishe kama…