Ardhi
3 July 2023, 12:44 pm
Karagwe: Wanaodaiwa kununua ardhi kinyemela watakiwa kuwasilisha nyaraka kwa DC
Serikali wilayani Karagwe imetoa siku saba kwa wananchi walionunua ardhi ya kijiji cha Kahanga kata ya Nyakasimbi wilayani humo kinyume cha sheria kuwasilisha vielelezo vitakavyowezesha kubaini wahusika waliowauzia ardhi hiyo. Na Eliud Henry Wakizungumuza katika mkutano wa hadhara ulioitishwa na…
30 June 2023, 4:34 pm
Wizara ya Ardhi yajadili namna ya kumaliza migogoro ya ardhi Dodoma
Juni 30 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula atakutana na wananchi jijini Dodoma Kusikiliza changamoto za upatikanaji wa hatimiliki ya ardhi. Na Mindi Joseph. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula…
30 June 2023, 10:21 am
Mpanda: Uchimbaji madini uzingatie maeneo tengefu
MPANDA Wananchi wa kijiji cha Dirifu kata ya Magamba manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameshauriwa kutunza mazingira na kufanya shughuli za uchimbaji madini kwenye maeneo yaliyotengwa. Hayo yamesema na mtendaji wa kijiji hicho Evelius Mathayo wakati akizungumza kwenye mkutano wa…
June 26, 2023, 7:16 am
Wananchi vijiji 44 kupewa hati za kimila bure Makete
Halmashauri ya wilaya ya Makete kwa kushirikiana na tume ya taifa ya mipango ya matumizi bora ya ardhi imeanza kutoa elimu ya mpango wa matumizi ya ardhi katika vijiji 44 katika kata za Ikuwo, Kigala, Kinyika, Iniho, Kipagalo, Luwumbu, Bulongwa,…
8 May 2023, 4:27 pm
Diwani Nzuguni atakiwa kushughulikia changamoto yamigogoro ya viwanja
Mradi wa Visima vya Maji Nzuguni utaandika historia kwa wananchi kutokana na eneo hilo Tangu uhuru halijawahi kuwa na chanzo cha maji safi na salama. Na Mindi Joseph. Diwani wa kata ya Nzuguni Aloyce Luhega ameomba kushughulikiwa changamoto ya Migogoro…
27 April 2023, 8:31 am
BUSWELU “Tumieni Sheria Kutekeleza Mpango Bora wa Matumizi ya Ardhi Misham…
TANGANYIKA Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelo Amewataka Viongozi na Wananchi Mishamo Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi kufuata sheria zinazotakiwa ili kufuata na kutekeleza Mpango bora wa matumizi ya Ardhi Mishamo. Akizungumza katika kikao cha wasilisho Mpango bora wa…
8 April 2023, 10:40 pm
Mashamba ya malisho yaanza majaribio Kilosa
Serikali ikiwa katika kumaliza migogoro ya wakulima na wafugaji wilayani Kilosa imeamua kuanzisha majaribio ya mashamba ya malisho ili kunusuru mifugo kuchungiwa kwenye mashamba ya mazao. “Tabia ya wafugaji kuingiza mifugo kwenye mashamba ya wakulima imekua ni mazoea kwa kuwa…
21 March 2023, 4:50 pm
Hatimaye mgogoro wa ardhi Kingale watatuliwa
Baada ya mgogoro wa ardhi wa muda mrefu kutatuliwa hatimaye zoezi la upimaji limeanza rasmi katika eneo hilo. Na Nizar Mafita. Siku chache baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kutatua mgogoro wa ardhi…
20 March 2023, 4:17 pm
Uongozi wa Shule za Ephiphany wamtaka mwekezaji kufuata sheria ili kuepu…
Mwekezaji huyo anaedaiwa kuingilia mpaka wa eneo la shule hiyo anadai kuuziwa eneo hilo na halamshauri husika. Na Fredi Cheti. Uongozi wa shule za Ephiphany zilizopo kata ya Mwegamile Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma umejikuta ukiingia katika mgogoro wa kugombania mpaka…
15 March 2023, 11:36 am
Serikali ya Kijiji yadaiwa kupora ardhi.
Na Isdory Mtunda Miongoni wa changamoto zinazowakumba baadhi ya wananchi wa Vijiji vya Igota na Magereza ,Wilayani Ulanga Mkoani Morogoro ,ni kuporwa ardhi na Serikali ya Kijiji. Hayo yameelezwa na baadhi ya wananchi wa Vijiji hivyo katika mkutano uliowakutanisha wananchi…