Radio Tadio

Ajali

31 July 2023, 8:52 pm

Manusura ajali ya mitumbwi Bunda wasimulia hali ilivyokuwa

Vijana walionusurika kwenye ajali ya mitumbwi eneo la Mchigondo Bunda wasimulia hali ilivyokuwa baada ya mitumbwi kuzama na wao walivyonusurika huku wakiokoa watoto watatu. Na Adelinus Banenwa na Edward Lucas Joseph Kundi mkazi wa Bulomba alikuwa ni miongoni mwa wasafiri…

31 July 2023, 4:39 pm

Bunda: Watu 13 wahofiwa kufariki dunia Ziwa Victoria

Watu 13 wanahofiwa kufariki dunia huku wengine 14 wakinusurika baada ya mitumbwi miwili kuzama Ziwa Victoria wakiwa wanatoka kanisani eneo la Mchigondo kata ya Igundu halmashauri ya wilaya ya Bunda. Na Adelinus Banenwa na Edward Lucas Watu 13 wanahofiwa kupoteza…

29 July 2023, 10:20 pm

Maduka matatu yateketea kwa moto Bukombe

Uduni wa vifaa vya uokozi kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani Geita inachangia kulifanya Jeshi hilo kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi. Na Alex Masele: Maduka matatu ya wafanyabiashara katika mji wa Ushirombo Halmashauri ya wilaya Bukombe Mkoani Geita yameteketea…

13 July 2023, 9:16 pm

Miili mitatu yatambuliwa wahanga wa ajali

Majonzi yatawala wilayani Bukombe kufuatia ajali ya watu sita kufariki dunia, miili imeendelea kutambuliwa huku serikali ikitoa wito kwa watumiaji wa vyombo vya moto kuzingatia sheria. Na Mrisho Sadick: Kaimu Mganga Mkuu wa wilaya ya Bukombe Mkoani Geita Dkt Timotheo…

13 July 2023, 2:59 pm

Sita wafariki ajali ya gari Bukombe

Usingizi wa dereva wa gari dogo la abiria Toyota Hiace umekatisha uhai wa watu sita katika kata ya Runzewe wilayani Bukombe mkoani Geita. Na Mrisho Sadick: Watu sita wamefariki dunia na wawili kujeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Toyota…

13 July 2023, 12:27 pm

Moto wateketeza vitu vyote vya ndani Geita

Majanga ya moto mkoani Geita yameendelea kujitokeza huku wananchi wakitakiwa kutoa taarifa mapema kwa Jeshi la Zimamoto kwa ajili ya uokozi kwa namba ya bure ya 114. Na Kale Chongela Moto ambao haujajulikana chanzo chake umezuka na kuteketeza vitu vya…