Radio Tadio

Ajali

18 April 2023, 9:35 pm

Mmoja Afariki kwa Kuangukiwa na Ukuta Shanwe

MPANDA Mtu Mmoja aliyefahamika kwa jina la Elizabeti Fabiano mwenye umri wa mika 29 mkazi wa Mtaa wa shanwe Manispaa ya Mpanda mkoa wa katavi amefariki Dunia Kwa kuangukiwa na nyumba Akizungumzia tukio Hilo mama mzazi wa marehemu Khadija Eneliko…

14 April 2023, 10:15 am

Mvua Yaezua Nyumba Mbili Mtaa waMtemi Beda

MPANDA. Nyumba mbili zimeezuliwa katika mtaa wa mtemi beda kata ya misunkumilo manispaa ya Mpanda mkoani Katavi kufuatia mvua kubwa iliyonyesha ikiambatana na upepo na kusababisha watu kukosa makazi . Wakizungumza na mpanda redio fm wahanga wa tukio hilo wamesema…

9 March 2023, 1:15 pm

Miili ya Watu 9 Waliofariki katika Ajali Yazikwa Katavi

KATAVI Miili ya watu 9 waliofariki katika ajali ya basi ya kampuni ya Kombas iliyotokea march 6 katika mlima Nkondwe halmashauri ya wilaya  Tanganyika mkoani Katavi imeagwa katika hospital ya manispaa ya Mpanda . Akizungumza wakati wa zoezi la kuaga…

8 February 2023, 12:30 pm

Nyumba 50 Zaharibiwa na Mvua Mwamkulu

MPANDA Nyumba 50 Zimeharibiwa huku kaya 47 zikikosa makazi katika kata ya Mwamkulu Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi Kufuatia Mvua iliyonyesha January 31 ,2023 Wakizungumza na Mpanda redio FM Wahanga wa tukio hilo wamesema kuwa mvua hiyo imeleta uharibifu mkubwa…