Radio Tadio

Afya

5 July 2023, 8:28 am

Wananchi wapewa rai kufunika visima

Matukio ya watoto na watu wazima pamoja na wanyama kutumbukia kisimani au kwenye mashimo yameonekana bado ni changamoto mkoani Geita, kiasi cha Jeshi la Polisi kuwakumbusha wananchi kufunika visima na mashimo hayo ili kuepusha ajali zinazoweza kuepukika. Na Kale Chongela…

4 July 2023, 3:49 pm

Nollo atatua changamoto ya huduma za afya Mapinduzi Kigwe

Uwepo wa huduma za afya kwenye kila kijiji wilayani Bahi mkoani Dodoma kutawahakikishia wananchi wa wilaya  hiyo usalama wa afya zao  pindi watakapopatwa na maradhi mbalimbali. Na Bernad Magawa. Mbunge wa jimbo la Bahi Mhe.  Kenneth Nollo ametoa zaidi ya shilling…

4 July 2023, 3:00 pm

Mwezi wa Afya na Lishe

Wazazi wameaswa kuwapeleka watoto wote kupata dawa za minyoo na matone ili kuwakinga na magonjwa yanayotokana na upungufu wa lishe. Afisa lishe amesema hayo wakati akitoa elimu kwa Jamii katika mwezi wa Afya na lishe zoezi linalofanyika mara mbili kwa…

July 4, 2023, 11:20 am

Wakazi Kata ya Nyandekwa wahimizwa ushirikiano ujenzi wa zahanati

Wakazi wa Bujika kata ya Nyandekwa wilayani Kahama wametakiwa kuacha kukwamisha  shughuli  ya ujenzi wa zahanati kijijini hapo. Na Clement Paschal Wakazi wa kijiji cha Bujika kata ya Nyandekwa wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuacha kukwamisha  shughuli  ya ujenzi wa…

July 4, 2023, 10:56 am

Jamii kuishi kwa mazoea chanzo cha magonjwa yasioambukizwa

Wananchi wa Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wamesema magonjwa yasiyoambukizwa yamekuwa ni changamoto kutokana na maisha ya mazoea katika jamii. Na Misoji Masumbuko Wakizungumza kwa nyakati tofauti wamesema watu wengi wanaopata magonjwa yasiyoambukizwa hawatambui mapema kutokana na kutokuwa na tabia…

3 July 2023, 2:50 pm

Waganga tiba asili, wakunga 28 watunukiwa vyeti

Mafunzo hayo yaliyodumu kwa muda wa wiki moja yametolewa na wakufunzi kutoka Taasisi ya afya na sayansi shirikishi Dodoma (DIHAS) (Dodoma Institute of Health and allide Science). Na Alfred Bulahya. Jumla ya waganga wa tiba asili na wakunga 28 kutoka…