Radio Tadio

Afya

13 September 2023, 2:47 pm

Jamii yatakiwa kutambua umuhimu wa kupima afya

Wataalamu wa Afya wanashauri jamii kufanya uchunguzi wa afya mara kwa mara ili kubaini hali zao na namna ya kukabiliana na magonjwa yanayoweza kujitokeza kwa haraka zaidi . Na Richald Ezekiel. Jamii imetakiwa kutambua umuhimu wa kupima afya mara kwa…

12 September 2023, 12:26 pm

Serikali yaendelea kuchukua tahadhari kudhibiti Polio Nchini

Aidha wakuu wa Mikoa, Wilaya pamoja na Viongozi mbalimbali wametakiwa kusimamia Kampeni ya Kitaifa ya chanjo ya matone pamoja na Waganga wa Mikoa kutoa chanjo hiyo kwa wakati sambamba na kutoa elimu kwa jamii. Na Yussuph Hassan. Serikali imeendelea kuchukuwa…

September 12, 2023, 9:24 am

Maisha na UVIKO 19

Umuhimu wa chanjo ya UVIKO 19 kwa wana jamii na kuchukua tahadhari ili kujilinda dhidi ya maambukizi ya mlipuko huo. Mtalaam wa afya kutoka ofisi ya Mganga mkuu wilaya ya Nyasa Dr Richard Kubingwa Akitoa elimu ya uchanjaji na kujikinga…

11 September 2023, 3:17 pm

Wanahabari kuwa mabalozi kutoa elimu ya sikoseli

Mkoa wa Tabora unashika nafasi ya nne miongoni mwa mikoa yenye waathirika wengi wa ugonjwa wa sikoseli nchini. Kaimu Mkurugenzi wa hospital ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete Dkt. Renatus Burashahu amewaomba waandishi wa habari kuwa mstari wa mbele…

11 September 2023, 12:11 pm

Zaidi ya watoto elfu 99 kupata chanjo ya polio Karagwe

Watoto 99,159 wilayani Karagwe watakuwa miongoni mwa watoto 3,250,598 wenye umri wa chini ya miaka minane watakaopata chanjo ya kinga ya polio katika kampeni ya chanjo kitaifa Septemba 21-24 mwaka huu. Na. Tumaini Anatory Kwa mujibu wa mratibu wa chanjo…

10 September 2023, 8:53 pm

Wazee watakiwa kuchangamkia bima ya afya

Na. Jovinus Ezekiel Missenyi Wazee katika kata ya Bugandika wilayani Missenyi mkoani Kagera wametakiwa kujiunga na bima ya afya ya CHF iliyoboreshwa kwa lengo la kuwawezesha kunufaika na huduma za matibabu. Akiongea   na wazee wa  kikundi cha  wazee Bikolw’engonzi kilichopo katika…