Recent posts
12 September 2026, 7:00 am
RC Mara aagiza mikakati madhubuti kukabili Mvua za El Niño
“Tumepokea utabiri unaoonesha uwepo wa mvua za wastani hadi juu ya wastani katika Mkoa wa Mara. Hivyo, nawaagiza wajumbe wa Kamati ya Maafa ya Mkoa pamoja na kamati za maafa katika ngazi zote kuhakikisha wanachukua hatua za tahadhari mapema katika…
4 September 2026, 1:02 pm
Wananchi Butiama wachukua tahadhari kukabiliana na mvua za El nino
“Nawasihi wananchi wenzangu tuepuke kuuza chakula chote tulichovuna bila kubakiza akiba ya kutosha majumbani. Tusitegemee mazao tutakayoanza kulima kuanzia mwezi Oktoba, kwani hatujui kama yataweza kustawi au kuharibika kutokana na mvua kubwa zinazotabiriwa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania…
29 August 2026, 9:45 am
Mwendo kasi, ulevi na uzembe vyachangia ajali Butiama
“Usalama barabarani ni jukumu la kila mmoja. Madereva wanapaswa kuzingatia sheria, kuepuka mwendo kasi, ulevi na matumizi ya simu wakati wa kuendesha, pamoja na kuhakikisha vyombo vyao vya usafiri viko katika hali nzuri kabla ya kuanza safari.” Kaimu Mkuu wa…
27 August 2026, 8:34 pm
Chanjo ya polio awamu ya tatu yazinduliwa Butiama
Ninawasihi wananchi wote wa Mkoa wa Mara kuhakikisha watoto wao walio chini ya umri wa miaka 10 wanapata chanjo ya polio, Chanjo hii ni muhimu katika kuwalinda watoto dhidi ya ugonjwa huu na madhara yake, ikiwemo ulemavu.” Mkuu wa Mkoa…
24 August 2026, 5:42 pm
Butiama: Watoto chini ya miaka 10 kupata chanjo ya polio
Chanjo hii ya polio imedhibitishwa na mamlaka za afya kuwa ni salama na haina madhara kwa afya ya watoto. Hivyo, tunawaomba wazazi na walezi kuacha imani na dhana potofu kuhusu chanjo hii, badala yake wajitokeze kuhakikisha watoto wao walio chini…
19 July 2026, 7:45 am
Mbunge aahidi suluhisho la kero Muriaza
‘’Masuala yote yaliyowasilishwa yanaendelea kushughulikiwa kwa kushirikiana na Serikali na mamlaka husika ili kupata suluhisho la kudumu’’ Dkt. Wilson Mahera Charles Na Amos Marwa Mbunge wa Jimbo la Butiama Dkt. Wilson Mahera Charles, ameendelea na ziara yake ya kikazi katika…
17 July 2026, 10:25 am
Dkt. Mahera asikiliza kero za wananchi Kukirango
Nimepokea kero na maoni ya wananchi kuhusu huduma za maji, umeme, barabara na ujenzi wa soko la kisasa. Nitazifuatilia kwa karibu kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Butiama pamoja na wadau mbalimbali ili kuhakikisha changamoto hizo zinapatiwa ufumbuzi na…
17 July 2026, 9:54 am
Dkt. Mahera akagua miradi, asikiliza kero za wananchi Butiama
“Nitashirikiana na Serikali pamoja na wananchi kuhakikisha miradi ya maendeleo inakamilika kwa wakati na kwa ubora unaohitajika, ili huduma muhimu ziendelee kuwafikia wananchi wa Jimbo la Butiama “Mbunge wa Jimbo la Butiama, Dkt. Wilson Mahera Charles Na Amos Marwa Mbunge…
4 July 2026, 7:48 am
Serikali kuboresha barabara za ndani Butiama
“Nawataka vijana na wananchi wote kulinda amani, umoja na utulivu wa nchi, kwa sababu mazingira ya amani ndiyo msingi wa maendeleo endelevu. Bila amani, hatuwezi kujenga uchumi imara wala kufanikisha maendeleo tunayoyahitaji kama taifa.”Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Na…
1 July 2026, 9:15 am
Vilevile cup yawasha moto Butiama
Na Amos Marwa Mashindano ya Vilevile Cup, yanayofanyika kila mwaka Wilaya ya Butiama kwa lengo la kuthamini na kutambua mchango wa Jackton Nyambeleka Nyerere, yamezinduliwa rasmi leo, Juni 30, na Kamati ya Maandalizi ya mashindano hayo. Akizungumza wakati wa uzinduzi,…