Recent posts
02/09/2021, 5:51 pm
Apoteza maisha kwa kukatwa na kitu kikali shingoni
Na,Jacob Kapaya Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la JACKIAS KIPARA mkazi wa kijiji cha Ruchugi wilayani Uvinza mkoani Kigoma mwenye umri wa miaka 31 amefariki dunia baada ya kukatwa na kitu chenye ncha kali shingoni. Kamanda wa jeshi la polisi…
25/08/2021, 5:56 pm
Wanafunzi wa kike waiomba serikali kuwaletea walimu wa kike mashuleni ili kutat…
Na,Christina Daud Baadhi ya Wanafunzi wa kike katika shule ya sekondari nguruka wilayani uvinza mkoani kigoma wanapata changamoto ya kuwa na walimu wa kike wa kutosha mashuleni kwa ajili ya kueleza shida zao hususani suala la hedhi wanapokua shuleni Wakizungumza…
19/08/2021, 4:45 pm
Wafanyabiashara waishukuru serikali kwa kuondoa vikwazo vya kufanya biashara
Na,Glory Paschal Wafanyabiashara katika halmashauri ya mji wa Kasulu mkoani Kigoma wameishukuru serikali kupitia mamlaka ya mapato Tanzania TRA kuondoa vikwazo vya kufanya biashara vilivyokuwa vinawakabili ikiwemo kubabikiziwa makadilio ya juu ya kodi na baadhi ya watumishi wasio waadilifu. Wamesema tangu…
19/08/2021, 4:34 pm
Shirika la afya WHO latoa msaada wa baiskeli 100
Na,Glory Paschal Shirika la afya Duniani, WHO limetoa msaada wa baiskeli 100 Mkoani Kigoma kwaajili ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii waliopo katika maeneo ya mipakani na katika kambi za wakimbizi ili kuimarisha ufuatiliaji wa magonjwa ya mlipuko Akikabidhi…
19/08/2021, 4:23 pm
Wazazi na walezi washauriwa kutowaruhusu watoto kusafirishwa
Na,Glory Paschal Wazazi na Walezi Wilayani Kakonko Mkoani Kigoma wameshauriwa kutoruhusu watoto wao kusafirishwa kwenda kutumikishwa katika shughuli mbalimbali kinyume cha sheria Afisa Ustawi wa Jamii halmashauri ya wilaya Kakonko Bw. Mohamed Shauri amesema baadhi ya wazazi na walezi wamekuwa…
13/08/2021, 7:31 pm
Wafanyabiashara wa vyombo vya moto waiomba serikali kushusha bei ya mafuta
Na,Rosemary Bundala Wafanyabiashara wa vyombo vya moto vya usafiri kutika kijiji cha Ruchugi wilayani uvinza mkoani kigoma wameiomba serikali kuwa tatulia suala la kupanda kwa bei ya mafuta kutokana na hali ya kiuchumi ilivyo kwasasa. Wakizungumza na redio uvinza fm…
12/08/2021, 4:31 pm
Wananchi walia na ukosefu wa maji
Na,Mwanaid Suleiman Wakazi wa kijiji cha Ruchugi Wilayani Uvinza mkoani Kigoma wameiomba serikali kutataua changamoto ya maji inayowakumba katika kijiji hicho hasa katika kipindi cha kiangazi Hayo yamesemwa na baadhi ya wakazi wa kijiji cha Ruchugi kuwa changamoto hiyo imekua…
11/08/2021, 7:29 pm
Waliopokea chanjo ya uviko 19 afya zao ni salama
Na,Timotheo Leornadi Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Ruchugi kata ya Uvinza wilayani Uvinza Mkoani Kigoma ambao tayari wamepokea chanjo ya UVIKO -19 wamesema ni salama kwa afya, nakwamba wale ambao bado wanamitazamo hasi wakachajwe kulinda maisha yao Hayo wameyasema…
07/07/2021, 4:49 pm
Waziri wa TAMISEMI aziagiza halmashauri kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato
Na,Glory Paschal Waziri wa nchi ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa Tamisemi Ummy Mwalimu ameziagiza halmashauri za Mkoa wa Kigoma kuongeza ukusanyaji wa Mapato pamoja na kuhakikisha mapato yanayokusanywa yanatumika kutatua changamoto za wananchi Akizungumza na…
05/07/2021, 5:55 pm
Corona yaathiri Wafanyabiashara wa samaki na dagaa
Na,Glory Paschal Baadhi ya Wavuvi na Wafanyabiashara wa Samaki na Dagaa Mkoani Kigoma Wamesema Kufungwa kwa Mipaka ya Nchi Jirani Kutokana na Maambukizi ya Ugonjwa wa Corona Kumeathiri Biashara zao Wavuvi Pamoja na Wafanyabiashara ambao Wamesema hali ya biashara imekuwa…