sensa
20 June 2026, 13:15
Tamasha la urithi wa Ujiji kuhimiza madili kwa vijana Kigoma
Tamasha la Urithi wa Kihistoria na Utamaduni la Mji Mkongwe wa Ujiji lina umuhimu mkubwa katika kuhifadhi na kuendeleza historia, tamaduni na maadili ya jamii Na Lucas Hoha Tamasha la urithi wa kihistoria na utamaduni katika mji mkongwe wa Ujiji…
18 June 2026, 12:21 pm
TBS yateketeza bidhaa feki
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kanda ya magharibi limeteketeza bidhaa feki na bidhaa zisizokidhi viwango zilizokamatwa katika manispaa ya Mpanda mkoani Katavi. Na Ben Gadau -Katavi Akizungumza wakati wa zoezi hilo, afisa mdhibiti ubora kutoka TBS Kanda ya magharibi, Ezekiel…
20 May 2026, 2:01 pm
Uchangiaji damu kwa hiari umesaidia kuokoa maisha
Watu walio na uhitaji wa hali ya juu zaidi wa damu ni pamoja na manusura wa ajali, akina mama wanaojifungua na watoto wenye umri chini ya miaka mitano. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wananchi kujenga utamaduni wa kuchangia damu…
21 April 2026, 7:05 pm
Wataalam: Ugonjwa wa sikoseli si laana
Jamii mkoani Manyara imetakiwa kuachana na imani potofu kuwa ugonjwa wa sikoseli unasababishwa kwa kulogwa au laana, bali ugonjwa huo unasababishwa na kurithi. Na Mzidalfa Zaid Hayo yameelezwa na mratibu wa sikoseli na Hemofilia kutoka Wizara ya Afya Dkt. Astera…
8 October 2025, 5:30 pm
Miundombinu hifadhi ya taifa Rubondo yaboreshwa
Kwa sasa hifadhi hiyo inaendelea kuboresha huduma za utalii, ikiwa ni pamoja na usafiri wa majini, malazi ya kisasa na shughuli za uhamasishaji wa utalii wa ndani. Na Mrisho Sadick: Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo iliyopo wilayani Chato…
12 October 2023, 9:53 pm
Wilaya tatu mkoani Iringa zapewa elimu matumizi takwimu za sensa 2022
Na Bestina Nyangaro-Mafinga Halmashauri za Mufindi, Mafinga mji na Kilolo zimepatiwa mafunzo ya matumizi ya takwimu za matokeo ya sensa ya Sita iliyofanyika mwezi Agosti mwaka 2022. Mafunzo hayo yametolewa hii leo katika ukumbi wa CCM Halmashauri ya mji Mafinga,…
28 September 2023, 12:49 am
Wanahabari wapewa siri ya kuwawezesha kuhoji
Kupitia matokeo ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 mwanahabari unaweza kuhoji ili kuisaidia jamii Na Edward Lucas Kamisaa wa Sensa ya watu na makazi, Spika msaafu Mhe.Anna Makinda amewaasa waandishi wa habari kuhakikisha kuwa wanasoma taarifa ya…
27 October 2022, 10:08
Rais Samia kutangaza matokeo ya awali ya sensa 0ct 31 Jijini Dodoma
Na; Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa maandalizi ya uzinduzi wa matokeo ya mwanzo ya sensa ya watu na makazi yamefikia hatua nzuri hivyo wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushuhudia matokeo hayo yakitangazwa. Hayo yameelezwa na mkuu wa mkoa wa Dodoma Rosemary…
23 August 2022, 7:32 am
Mbunge Maboto: Awahimiza Bunda Mjini kushiriki Sensa kikamilifu
Mbunge Jimbo la bunda Mjini Mhe Robert Chacha Maboto amewahimiza wakazi wa Jimbo la Bunda Mjini kushiriki Sensa ya watu na makazi kikamilifu Akizungumza na redio Mazingira Fm Mhe Maboto amesema lengo kuu la sensa ya watu na makazi ni…
18 August 2022, 6:06 am
Mara: Viongozi wa dini,Vyama vya Siasa,Wazee wa mila na waandishi wa habari wat…
Viongozi wa dini,Vyama vya Siasa,Wazee wa mila na waandishi wa habari wameombwa kuunganisha nguvu na taasisi za Serikali kuhamasisha masuala ya Sensa ili watu wote waweze kujitokeza kuhesabiwa. Akitoa hamasa kwa makundi hayo Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali…