MALEZI
5 February 2024, 6:47 pm
Jamii yatakiwa kujitokeza kusaidia malezi
Kuna watoto wengi kwenye wanapitia changamoto ya kupata malezi inayotokana na ugumu wa maisha pamoja na wengine kukosa wazazi. Na Fred Cheti.Wito umetolewa kwa jamii kujitokeza kusaidia katika malezi kwa watoto wenye uhitaji wa huduma hiyo kwa kuwachukua na kuwapatia…
8 January 2024, 16:43
Wazazi kushirikiana tiba ya upendo kwa mzazi mmoja
Baadhi ya wazazi wakiume wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kushirikiana na wazazi wa kike kuzilea familia zao na kuacha kuzitelekeza hali inayopelekea baadhi ya watoto kuwa na mapenzi na mzazi mmoja. Rai hiyo imetolewa na Mchungaji kiongozi wa kanisa la…
2 January 2024, 18:21
SACP Misime: Toeni malezi bora kutengeneza kizazi bora cha kesho
Na mwandishi wetu Waumini wa kanisa la EAGT Kati kwa Mchungaji Alfred Mahenge lililopo kata ya Mlowo wilayani Mbozi wametakiwa kuwapa malezi bora watoto wao ili kutengeneza kizazi bora kwa maendeleo ya taifa. Hayo yalisemwa na Msemaji wa Jeshi la…
8 December 2023, 10:38 am
Makala: Hali ya malezi na Makuzi ya watoto chini ya umri wa miaka 8
Baba na Mama tunaamini ndio wanaoanzisha safari ya maisha ya binadamu hapa duniani, na hapa nazungumzia jukukumu la mama kubeba mimba na baba kubeba jukumu la kulea na kuhudumia mimba Na Mwanahamisi Chikambu na Gregory Millanzi Maisha ya binadamu yanasafari…
7 November 2023, 19:05
Wazazi waonywa kuwaozesha watoto kwa wachimba madini Chunya
Na Samweli Mpogole Wazazi na walezi wilaya ya Chunya wametakiwa kuacha tabia ya kuwafanyisha kazi watoto katika shughuli za uchimbaji madini na kuwaozesha wakiwa bado masomoni badala yake wawasimamie katika masomo yao. Wito huo umetolewa na Makamu Mwenyekiti wa halmashauri…
31 October 2023, 8:55 pm
Wazazi watakiwa kufuatilia mienendo na malezi ya watoto wao
Wazazi na walezi wilayani Sengerema mkoani Mwanza wanatajwa kujali zaidi shughuri zao binafsi na kuonyesha kulitegea mgongo suala la malezi kwa watoto, huku wenginge wakiwaachia watoto kuwalea watoto wenzao. Na:Emmanuel Twimanye. Wazazi Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza wametakiwa kutimiza jukumu la…
30 October 2023, 9:33 am
Rungwe yazindua programu jumuishi kupuguza tatizo la afya ya akili
Matatizo mengi ya afya ya akili ni matokeo ya kutozingatia malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto katika hatua zake za ukuaji kwa kipindi cha kuanzia mwaka 0-8. Na Sabina Martin – Rungwe Utekelezaji madhubuti wa programu jumuishi ya…
12 January 2023, 2:22 pm
Jamii na dhana ya kubemenda mtoto
Na; Mariam kasawa Dhana ya kubemenda mtoto ni dhana ambayo imekuwa ikiaminiwa na jamii nyingi za Afrika hususani Nchini Tanzaniaa. Makabila tofauti yamekuwa na utaratibu wao pindi mama anapo jifungua na wakati wa kulea mtoto baba na mama hufundishwa na…
1 August 2022, 12:30 pm
Nafasi ya Mwanaume kwenye malezi ya watoto
. Sikiliza Makala inayozungumzia Nafasi ya Mwanaume kwenye malezi ya watoto, Makala haya yameandaliwa na Mwanahamisi chikambu
8 July 2022, 14:28 pm
MAKALA: wananchi wakerwa na tabia za kuwatupa watoto
Utupaji wa watoto wachanga mara baada ya kuzaliwa limekuwa ni tukio la kikatili ambalo kwasasa limeonekana kushamili katika jamii katika nchi za kiafrika. Katika tukio la hivi karibuni lililotokea katika msitu uliopo kata ya Naliendele, Jamii fm imeangazia tukio hilo…