Radio Tadio

lishe

8 January 2024, 9:18 pm

Jamii yaendelea kusisitizwa kuwapatia watoto lishe bora

Wazazi wanashauriwa juu ya mambo ya kuzingatia katika kuandaa mchanganyiko wa lishe bora unaofaa kwa mtoto. Na Thadei Tesha.Jamii imeendelea kusisitizwa kuwapatia watoto lishe bora na kuacha kuwapa chakula kimazoea kwa lengo la kumsaidia mtoto kuwa na afya njema. Leo…

15 November 2023, 17:29

Mashamba ya shule yatumike kuimarisha lishe kwa wanafunzi

Na mwandishi wetu Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Momba, Bi. Regina Bieda amewaagiza wakuu wa shule na waalimu wakuu kuhakikisha wanatumia vizuri ardhi ya shule kwa kulima mazao mbalimbali ya kuimarisha lishe bora kwa wanafunzi. Bi. Regina Bieda…

18 September 2023, 2:29 pm

Jamii yatakiwa kuzingatia lishe bora

Mara kadhaa Wizara ya Afya pamoja na taasisi mbalimbali za afya nchini zimekuwa zikitoa ushauri kwa  jamii kuzingatia ulaji wa lishe bora lengo ikiwa ni kuimarisha afya na kinga ya mwili. Na Diana Massae. Jamii  imetakiwa kuzingatia ulaji wa vyakula…

14 September 2023, 16:24

Manispaa ya Kigoma Ujiji yapunguza kiwango cha utapiamlo

Wazazi na walezi Manispa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma wametakiwa kuzingatia lishe kwa watoto wao kwa kuanda na kuwalisha vyakula vye lishe ya kutosha ili kuwakinga na utaopiamlo. Na, Josephine Kiravu Tangu kuanzishwa kwa siku ya afya ya lishe kila…

16 August 2023, 5:09 pm

Umaskini watajwa kuchangia lishe duni

Lishe ni muhimu kwa afya ya Watoto na Watu wazima ambapo ulaji duni kwa Watoto unaweza kusababisha mashambulizi ya maradhi kama vile utapiamlo na udumavu wa mwili. Na Yussuph Hassan. Ukata wa Maisha pamoja na Elimu duni kwa baadhi ya…

10 July 2023, 8:11 pm

Uislam wazungumzia lishe na virutubisho

Suala la kufuata utaratibu wa mlo kamili ni la muhimu ili kuimarisha afya, ili kutimiza azma ya serikali kuandaa wataalam wabunifu wa kizazi kinachokuja, viongozi mbalimbali wa kiserikali na kiimani wameendelea kusisitiza kuwa lishe si suala la hiari, wanaowaza hivyo…

4 July 2023, 3:00 pm

Mwezi wa Afya na Lishe

Wazazi wameaswa kuwapeleka watoto wote kupata dawa za minyoo na matone ili kuwakinga na magonjwa yanayotokana na upungufu wa lishe. Afisa lishe amesema hayo wakati akitoa elimu kwa Jamii katika mwezi wa Afya na lishe zoezi linalofanyika mara mbili kwa…

30 June 2023, 5:34 pm

Familia zatakiwa kuzingatia lishe bora Bahi

Ulaji unaofaa kwa kuzingatia makundi matano ya vyakula unajenga kinga ya mwili na kukabiliana na maambukizi ya magonjwa mbalimbali. Na Mindi Joseph. Jamii imehimizwa kuendelea kuzingatia mlo kamili ikiwemo makundi matano ya chakula ili kujenga familia zenye afya bora. Savera…