barabara
1 February 2024, 17:15
Wakandarasi wa barabara Kigoma wanyoshewa kidole kutowajibika
Wajumbe Wa Bodi ya Barabara Mkoa wa Kigoma, Wamelalamikia Kusuasua kwa Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara za Uvinza – Tabora na Kigoma – Kalya, Kwa madai ya wakandarasi kutowajibika ipasavyo, Pamoja na Kiwango Duni cha Ujenzi wa Mitaro Katika Barabara…
January 19, 2024, 6:30 pm
DC Sweda aahidi laki tano matengenezo barabara Kinyika-Mlondwe
na mwandishi wetu. Imeelezwa kuwa barabara ni moja ya njia inayowasaidia wanananchi kuweza kujikwamua kiuchumi. mkuu wa wilaya makete mh juma sweda ametembela barabara ya kinyika- mlondwe na kuona changamoto inayowakumba wanachi wa maeneo hayo na kuahidi kutoa kiasi cha…
6 January 2024, 6:02 pm
Wakazi wa Loje watoa shukrani ujenzi wa Daraja
Wananchi hao wanasema kukosekana kwa daraja pia kulihatarisha hali ya usalama wao hasa kipindi cha mvua. Na Victor Chigwada.Wananchi wa Kata ya Loje Wilaya ya Chamwino wametoa Shukrani kwa Serikali kwa Juhudi kubwa ya Ujenzi wa Daraja linalounganisha Kijiji cha…
22 November 2023, 9:00 am
Mwanafunzi afariki kwa kugongwa na gari akielekea shule Bunda
Dinnah Matwiga (15) mwanafunzi wa kidato Cha kwanza shule ya Sekondari Pauljohn amefariki dunia kwa kugongwa na gari akielekea shuleni. Na Adelinus Banenwa Dinnah Matwiga (15) mwanafunzi wa kidato Cha kwanza shule ya Sekondari Pauljohn na mkazi wa mtaa wa…
17 November 2023, 11:55 am
Prof Kabudi akabidhi mradi wa kukabarati barabara Kilosa
Serikali imeendelea kuwafikia wananchi waishio vijijini kwa kuwasogozea nyanja za ufunguzi wa maendeleo hususani katika ukarabati wa barabara kupitia wakala wa barabara za mijini na vijijini (TARURA) ambapo zinakwenda kuwaunganisha wananchi pamoja na kuwainua kiuchumi kwenye kilimo ambayo watayasafirisha hadi…
31 October 2023, 10:49 am
Wakandarasi watakiwa kuzingatia matakwa ya jiji la Dodoma
Huu ni mpango wa Uboreshaji wa Miundombinu katika miji ya Tanzania ujulikanao kama TACTIC unaofanywa na wakandarasi watatu. Na Fred Cheti. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe Rosemary Senyamule amewataka wakandarasi waliopewa miradi ya kujenga miundombinu ya barabara katika jiji…
26 October 2023, 4:18 pm
Kilometa 17 za lami kumaliza changamoto ya miundombinu ya barabara mjini Geita
Baada ya wananchi wa baadhi ya maeneo ya Halmashauri ya Mji wa Geita kulia na changamoto ya miundombinu ya barabara sasa serikali imesikia kilio chao. Na Kale Chongela: Halmashauri ya mji wa Geita kupitia mradi wa uboreshaji miji TACTIC imeanza…
25 October 2023, 12:39 pm
Vifusi barabarani kero kwa watumiaji wa vyombo vya moto Katoro
Kuchelewa kurekebishwa kwa miundombinu ya barabara imekuwa kikwazo nakuzorotesha uchumi wa wa wananchi. Na Kale Chongela: Madereva pikipiki na Bajaji wanaotumia barabara ya soko kuu la mji mdogo wa katoro wilayani Geita wamelalamikia uwepo wa vifusi katikati ya barabara hilo hali…
12 October 2023, 12:40 pm
Km 19 za barabara kujengwa katika mitaa zaidi ya minne Makulu
Tayari wananchi waliopisha ujenzi wa Barabara hizo wameshalipwa stahiki zao. Na Mindi Joseph. Kilomita 19 za barabara zinatarajiwa kuchongwa katika zaidi ya Mitaa 4 katika Kata ya Dodoma Makulu kabla ya msimu wa mvua kuanza. Hii ni kufuatia ujenzi wa…
9 October 2023, 3:27 pm
Chongolo hajaridhishwa na kasi ya mkandarasi ujenzi barabara Kibaoni – Mpi…
Katibu mkuu CCM Daniel Chongolo hajaridhishwa na kasi ya Mkandarasi anaetekeleza mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Kiwango cha Lami kutoka Kibaoni hadi Halmashauri ya Mpimbwe. Na John Benjamin – MleleKatibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo hajaridhishwa…