Pangani FM

UZIKWASA

25 September 2026, 5:52 pm

BHRT suluhu ya migogoro ya Ardhi Manyara

 Shirika  la Biashara na Haki za Binaadamu  BHRT limeendelea kutoa elimu mbali mbali kuhusu haki za binaadam  katika uwekezaji wa biashara na  haki ya  ardhi Na Hawa Rashidi Mkurugenzi wa Shirika la Biashara na haki za Binaadamu  BHRT Rose Ugulumu…

24 September 2026, 7:42 pm

BHRT yawataka Manyara kutumia wanasheria kutatua migogoro ya ardhi

Shirika la Biashara na Haki za Binadamu (BHRT) limewataka wananchi mkoani Manyara kuwatumia Wasaidizi wa Kisheria kuwasaidia kufahamu haki zao za umiliki wa ardhi. Na George Augustino Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kuwatumia wasaidizi wa kisheria kutoka  Mashirika kama CSP pamoja…

29 August 2026, 10:31 am

Ngorongoro yatakiwa kujiandaa na mabadiliko ya sera elimu

Afisa Elimu Mkoa wa Arusha, Dkt. Vincent Kayombo, ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro kujiandaa kikamilifu kukabiliana na mabadiliko ya sera ya elimu na mtaala mpya, ikiwemo kuongeza miundombinu na nafasi za wanafunzi. Na Zacharia Jemes Akizungumza katika Baraza la…

6 August 2026, 09:45

Suluhu za kifamilia na athari kwa manusura wa ukatili

Ukatili wa kijinsia ni kitendo chochote kinachosababisha madhara ya kimwili, kingono, kisaikolojia au kiuchumi kwa mtu kutokana na jinsia yake na suluhu za kifamilia ni jitihada zinazofanywa na wanafamilia, wazee wa ukoo au viongozi wa jamii kutatua migogoro bila kutumia…

8 July 2026, 11:42

Wanaume watakiwa kuripoti matukio ya ukatili Kigoma

Ukatili wa kijinsia ni tatizo linaloathiri wanawake, wanaume na watoto katika jamii na kwa muda mrefu, jamii imekuwa ikielekeza zaidi macho kwa ukatili dhidi ya wanawake, hali iliyowafanya baadhi ya wanaume wanaopitia ukatili kushindwa kutoa taarifa kwa hofu ya kudharauliwa…

2 July 2026, 1:13 pm

Kasulu Mji yatoa shilingi milioni 265 kwa vikundi 24

Prof. Ndalichako Mbunge wa Jimbo la Kasulu Mjini awasisitiza wanufaika wa mikopo ya Asilimia 10 kurejesha kwa wakati mikopohiyo ili iwanufaishe na waengine. Na; Emily Adam Zaidi ya Milioni 261 zimatolewa kwa kwa vikundi 24 vya wanawake, vijana na Walemavu…

26 June 2026, 14:20

Wanaume watakiwa kuvunja ukimya dhidi ya ukatili Kigoma

Ukatili wa kijinsia ni tatizo linaloathiri wanawake, wanaume na watoto ingawa mara nyingi jamii huzungumzia ukatili dhidi ya wanawake, wanaume pia hukumbana na vitendo vya ukatili katika familia na sehemu nyingine za maisha Na Timoth Leonard Wakati dunia ikiendelea kuhamasisha…