Mpanda FM

Zimamoto

21 June 2026, 7:46 am

Butiama yaweka mkazo usafi wa mazingira

“Hakuna mfanyabiashara anayepaswa kupuuza kampeni hii ya usafi. Wale ambao hawakuhudhuria leo, majina yao yaandikwe kwa ajili ya kuchukuliwa hatua za kisheria,“ Mkuu wa Wilaya ya Butiama, Thecla Mkuchika. Na Amos Marwa Mkuu wa Wilaya ya Butiama, Thecla Mkuchika, amezindua…

8 June 2026, 09:57

Mwigulu: “Wananchi Iringa wasiuziane ardhi kiholela”

Viongozi mliopo hapa waambieni wananchi hivi sasa masuala ya ardhi wasifanye kwa kuaminiana, wawe wanaandikishana kwa mikataba na tena katika ofisi za kijiji ili watambulike. Na Hafidh Ally Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwigulu Nchemba amewataka watumishi…

3 June 2026, 11:48 am

Vitongoji 89 Simanjiro vyakumbukwa na RUWASA

Na Isack Dickson Vitongoji themanini na tisa ambavyo havijafikiwa na huduma ya maji safi na salama katika Wilaya ya Simanjiro, vinatarajiwa kuondolewa kwenye changamoto hiyo ndani ya miaka miwili ijayo, kufuatia mkakati madhubuti kutoka kwa Wakala wa Maji na Usafi…

4 May 2026, 6:36 pm

Zimamoto Katavi yaadhimisha siku yao kwa kutoa elimu

“Nitoe rai msipende kupambana na tukio la moto wenyewe” Na Roda Elias Jeshi la zimamoto mkoani Katavi limetoa elimu kwa wananchi kuhusiana na majanga yatokanayo na mvua zinazoendelea kunyesha, kwa baadhi ya maeneo na majanga ya moto yanayotokana na ajali.…

30 April 2026, 10:05

RC Kheri atatua mgogoro wa ardhi Magubike

Mgogoro huo ulipelekea Bw. Mpambe Mnyambeyu, kuzuiwa kufanya shughuli za kimila katika makaburi ya wazazi wake yaliyopo ndani ya eneo la mgogoro, hatua inayotajwa kuleta suluhu na kurejesha amani kwa pande zinazosigana. Na Ayoub Sanga Mkuu wa Mkoa wa Iringa,…

27 March 2026, 3:54 pm

Mvua chanzo vifo vya watoto 15 Rungwe

Uwepo wa mvua kumbwa zilizoambatana na upepo imesababisha vifo vya watu 20 huku idadi kubwa ya vifo ikiwa ni watoto. Na Sabina Martin Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya zimesababisha vifo vya watu 20 wengi wao…

27 March 2026, 13:38 pm

Masasi na matumizi ya akili mnemba

Wakati tunafurahia kukua kwa tekinologia na kurahisisha maisha kupitia mitandao ya kijamii yapo madhara yanayojiyokea kutokana na tekinologia hizo pindi zinapotumiwa vibaya. Na Lilian Martin Wakati wa kipindi cha Jamii Tunzungumze na Redio Fadhila wadau wameeleza namna wanavyoifahamu AI faida…

25 March 2026, 10:16

Urasimishaji ardhi kupunguza migogoro ya ardhi Iringa

Mpango huu unalenga kuhakikisha kila kipande cha ardhi nchini kinapimwa ili kumwezesha mmiliki kuwa na haki mbalimbali zinazoambatana umiliki wa ardhi. Na Telesia Chalamila Wananchi wilaya ya Iringa wametakiwa kurasimisha umiliki wa ardhi zao ili kupunguza migogoro ya ardhi na…

7 March 2026, 10:41

Samia ardhi kliniki kutatua migogo ya ardhi

Kliniki hii ina lenga kuhakikisha wanawake wanapata fursa ya kumiliki ardhi sawa na wanaume. Na Telesia Chalamila na Elika Matonya Kuelekea maadhimisho ya siku ya Wanawake  Duniani  Wizara ya ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi Ofisi ya ardhi Mkoa wa…