Jamii FM

News

9 April 2021, 17:02 pm

SDA: acheni kuficha watoto walemavu

Na Karim Faida Shirika la Sports Development Aid SDA la hapa mkoani Mtwara wamewataka watu wanaowaficha watoto wenye ulemavu kuwafichua na kuwapeleka shule ili waweze kupata elimu ambayo itawasaidia baadae katika maisha ya baadae ikizingatiwa kwamba Elimu ni haki ya…

8 April 2021, 12:44 pm

TCCIA Mtwara kufanya uchaguzi leo

Mwenyekiti wa Chama cha wafanyabiashara, Viwanda na kilimo TCCIA mkoa wa Mtwara Swallah Said Swallah amesema hotuba ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hasan imerudisha matumaini kwa wakulima, Wafanyabiashara, na wenye viwanda mkoani hapa. Amesema…

23 March 2021, 18:05 pm

Naliendele Mtwara wamlilia Hayati Magufuli

Wananchi wa kata ya Naliendele Manispaa ya Mtwara Mikindani wametoa salamu za pole kwa Watanzani kufuatia  kifo cha Rais Dkt.John Pombe Magufuli kilichotangazwa usiku wa kuamkia leo Machi 18,2021. Wakizungumza kwa masikitiko makubwa wameeleza namna ambavyo watamkumbuka Rais Dkt.Magufuli kwa…

16 March 2021, 08:02 am

Bibi Esha apata makazi Mapya

Jamii fm radio kwa kushirikiana na Wanasalam kanda ya kusini yaani Mikoa ya Mtwara na Lindi pamoja na wadau wengine wamefanikiwa kujenga nyumba katika eneo la Mtaa wa Namayanga Kata ya Mtawanya Manispaa ya Mtwara Mikindani kwa ajili ya Bibi…

9 March 2021, 11:57 am

Umeme upo wakutosha Mtwara na Lindi – TANESCO

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Mtwara limesema kwa sasa uzalishaji wa umeme Mtwara na Lindi umeongezeka na kupita kiwango cha matumizi ya mikoa hii ya Lindi na Mtwara na wanahakikisha kila mwananchi ananufaika na nishati hii ya umeme.…

9 March 2021, 09:35 am

Msitegemee Korosho tu: Makamu rais TCCIA

Wakulima mkoani Mtwara wameshauriwa kulima kilimo bora na cha kisasa ili kuendana na fursa mbalimbali za masoko na mazao ya kibiashara ikiwemo zao la muhogo. Akitoa wito huo jana Machi 08,2021 kupitia Jamii FM Radio Makamu wa rais wa chama…

8 March 2021, 09:52 am

Waandishi wa Habari wanawake Mtwara waadhimisha IWD21

Waandishi wa Habari Wanawake kutoka Chama cha Waandishi wa Habari Mtwara (MTPC) Leo Machi 8, 2021 wameadhimisha siku ya Wanawake Duniani katika shule ya sekondari ya Mtwara Sisters. Akizungumza katika maadhimisho hayo mwenyekiti wa MTPC Grace Kasembe amesema wameona vyema…

6 March 2021, 14:54 pm

KIWOHEDE yatoa Taulo za kike siku ya wanawake Duniani

Siku ya wanawake Duniani imeadhimishwa leo Machi 6, 2021 katika Kata ya Nanguruwe Halmashauri ya wilaya ya Mtwara kwa taasisi na Mashirika ya mbalimbali kuwashika mkono wanawake katika kuadhimisha sikukuu hii muhimu. Mkuu wa wilaya ya Mtwara Danstan Kyobya amesema…