News
26 April 2024, 20:50 pm
DC Munkunda awataka wananchi kudumisha muungano
Faida za muungano wa Tanganyika na Zanziba ni nyingi kwa pande zote mbili zikiwemo za kibiashara,Uchumi na kijamii. Na Musa Mtepa Mkuu wa wilaya ya Mtwara Mwanahamisi Munkunda amewaomba wananchi kuwa wamoja katika kuuenzi na kudumisha muungano wa Tanganyika na…
24 April 2024, 19:42 pm
CSK: watoa elimu ya ukatili Mtwara vijijini
Matukio ya ukatili wa kijinsia umekuwa ukitokea katika maeneo mbalimbali ya wilayani Mtwara hivyo ndio sababu iliyotufanya kuja kutoa elimu hapa katika Kijiji cha Nanguruwe. Na Gregory Milanzi Shirika lisilo la kiserikali la utafiti (CSK) kwa kushirikiana na Jeshi la…
23 April 2024, 17:20 pm
Vijiji 52 Mvomero kunufaika na mradi wa LTIP
lengo ni kuandaa jumla ya Mipango Shirikishi ya Matumizi ya Ardhi ya Vijiji 52 katika Wilaya ya Mvomero ambapo hadi kufikia sasa tayari mipango 48 imekwishaandaliwa Na Mwandishi Wetu Vijiji takribani 52 katika Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro vitanufaika na…
21 April 2024, 16:26 pm
Wananchi Mtwara washauriwa kuwa na utamaduni wa kupanda miti
Miti na misitu ina faida nyingi kwa maisha ya binadamu ikiwa ni Pamoja na kuwa chanzo cha mvua,dawa ,chakula na ni chanzo cha bidhaa za ujenzi Na Gregory Milanzi Wananchi wameshauriwa kuwa na utamaduni wa upandaji wa miti ili kukabiliana…
19 April 2024, 21:14 pm
Maji bonde la Ruvuma, Pwani ya Kusini ni stahimilivu kwa wananchi
Bonde limefanya tathmini ya maji yaliyopo juu ya ardhi na chini ya ardhi na linavituo vya kufuatilia mienendo ya maji na tunatoa vibari kwa wahitaji wa matumizi ya maji hasa kwa wanaohitaji kuweka miundombinu. Na Musa Mtepa Jumla ya vyanzo…
16 April 2024, 08:55 am
Wazazi kikwazo watoto kumaliza elimu ya msingi Mtwara DC
Wazazi wengi wamekuwa wakiweka nguvu kubwa kwenye mila ya Jando na unyango kuliko Elimu Na Musa Mtepa Inaelezwa kuwa Wazazi kutotambua umuhimu wa Elimu ndio chanzo cha Watoto wengi kutomaliza Elimu ya Msingi katika Halmashauri ya Mtwara Vijijini. Wakizungumza na…
10 April 2024, 13:52 pm
Waislam watakiwa kuishi maisha yanayompendeza Mwenyezi Mungu
Kumewa na kutozingatia matukufu na makatazo ya Mwenyezimungu ambayo huenda ikawa sababu ya kuwepo kwa ugumu wa Maisha kutokana na Binadamu kutozingatia maagizo yake Na Musa Mtepa Waislam wametakiwa kuendelea kuishi Katika Maisha walivyoishi kwenye Mwezi mtukufu wa Radhamani ili…
29 March 2024, 17:46 pm
TFS yaombwa kutoa elimu ya huduma za misitu
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wameombwa kutembelea vijiji na kutoa Elimu kwa Wananchi ili wapate uelewa juu ya athari zinazo weza kujitokeza kutokana na matumizi mabaya ya Mazao ya Misitu Na Musa Mtepa Akizungumza na Jamii Fm Radio…
25 March 2024, 14:54 pm
Kamati ya Bunge yaipongeza Serikali umiliki wa Gesi Asilia
Kamati ya kudumu ya Bunge ya uwekezaji wa mitaji ya umma imeipongeza serikali kwa kuchukua hatua ya kuwasomesha vijana wa kitanzania nje ya nchi ambao kwasasa ndio wanao simamia mitambo ya kuchakata na kuzalisha Gesi Asilia katika kjiji cha Madimba…
19 March 2024, 15:55 pm
Athari ya mabadiliko ya tabia nchi yanavyoathiri upatikanaji wa samaki
“Ongezeko la joto Baharini na uwingi wa maji ya mvua kutoka Kwenye mito mbalimbali kumechangia kwa kiasi kikubwa kupungua upatikanaji wa Samaki “ Na Musa Mtepa Baadhi ya Wavuvi wa wanaofanya shughuli za uvuvi katika ukanda wa Bahari na Pwani…