Jamii FM

News

28 February 2021, 10:14 am

DANGOTE kupiga tafu miradi ya Milioni 648 Mtwara Vijijini

Kiwanda cha saruji DANGOTE Mtwara tarehe 26 Februari, 2021 kimeingia makubaliano maalum na halmashauri ya wilaya ya Mtwara kusaidia utekelezaji wa miradi ya maendeleo yenye thamani ya milioni 648 katika sekta ya elimu, afya, maji na michezo. Makubaliano hayo yamefanyika…

25 February 2021, 06:35 am

Wataalamu wa Elimu wafanya ufuatiliaji Mtwara Vijijini

Timu ya wataalamu ikiongozwa na Afisa elimu Msingi Mwl. Adam Shemnga Jana Tarehe 24 Februari, 2020 wamefanya ufuatiliaji na ukaguzi wa maendeleo ya kitaaluma katika Shule kwa lengo la kuongeza ufanisi kwenye Sekta hiyo Mtwara Vijijini. Ukaguzi huo umelenga kufuatilia…

24 February 2021, 04:45 am

Wawezeshaji TASAF wasisitizwa kutumia weledi uibuaji miradi

Timu ya wataalamu wa sekta mbalimbali halmashauri ya wilaya mtwara imeendelea na mafunzo ya siku sita yatakayowawezesha kusaidia uibuaji wa miradi ya kipindi cha ari kwa walengwa wa kaya maskini kupitia mradi wa TASAF kunusuru kaya maskini awamu ya tatu…

7 February 2021, 11:06 am

TANESCO Mtwara watoa elimu kwa wajasiliamali

Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Mtwara, wametoa elimu ya matumizi sahihi ya umeme kwa wajasiliamali mkoani hapa baada ya kuwatembelea kwenye sehemu zao za Biashara Manispaa ya Mtwara Mikindani. Akitoa elimu hiyo mhandisi Aurea Bigirwamungu ambae ni afisa…

18 January 2021, 11:43 am

Ajiua kwa wivu wa Mapenzi

Mtu mmoja aliejulikana kwa jina la Chikwisu mkazi wa Majengo Newala mjini amefariki dunia baada ya kujimwagia mafuta ya petrol mwilini na kujichoma huku kisa kikitajwa kuwa ni ugomvi wa kimapenzi na mke wake Awali akizungumza na Newala FM mtoto…