Recent posts
12 October 2024, 9:07 pm
Mati Super Brand Ltd yatoa zawadi kwa wateja wake
Wakati wiki ya huduma kwa wateja ikiwa imehitimishwa ,kampuni ya uzalishaji vinywaji changamshi ya  Mati Super Brand ltd imegawa zawadi mbalimbali kwa wateja wao. Na Mzidalfa Zaid Mkurugenzi wa kampuni ya uzalishaji vinywaji changamshi ya Mati Super Brand ltd David…
11 October 2024, 10:21 pm
Wananchi Babati jiandikisheni daftari la mkazi mapema
Katika kuhakikisha msongamano wa watu unapungua kwa siku za mwisho katika zoezi la kujiandikisha kweye daftari la mkazi, serikali ya halmashauri ya mji wa Babati imewataka wananchi wajitokeze kushiriki zoezi hilo kwa siku za mwanzo ili kuepuka usumbufu wa kukaa…
11 October 2024, 6:34 pm
Sendiga katika foleni kujiandikisha daftari la mkazi.
Zoezi la kujiandikisha katika daftari la mkazi katika mtaa wa mrara kata ya Babati wilayani Babati mkoani Manyara limeanza rasmi leo  ambapo wananchi  wametakiwa kujitokeza katika zoezi hilo ili watimize haki yao ya kikatiba ya kuchagua viongozi wao wa mtaa…
10 October 2024, 9:31 pm
Sendiga afungua maonesho ya mbolea duniani mkoani Manyara
Maonyesho ya mbolea yakiwa yamefunguliwa rasmi Leo 10,october 2024, mkoani Manyara  mkuu wa mkoa wa manyara amewataka wafanyabiashara kusogeza mbolea kwa wananchi kwa kifungua ofisi za wakala vijijini ili kuwapunguzia gharama za kufuata mbolea mijini. Na George Augustino. Mkuu wa…
10 October 2024, 5:11 pm
Zaidi ya wananchi 350 Manyara wapatiwa huduma ya macho
Mganga mfawidhi wa hospital ya halmashauri ya mji wa Babati(Mrara) Dr Gillian Francis Lupembe amesema Idadi ya wagonjwa waliokwenda kupata huduma ya matibabu ya macho imekuwa kubwa kutokana na watu wengi wanachangamoto ya uoni. Na Marino Kawishe Zaidi ya wananchi…
10 October 2024, 5:04 pm
CCM yawataka wananchi kujiandiksha kwenye daftari la mpiga kura
Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura zoezi ambalo litaaanza October 11 hadi October 20 mwaka huu. Na Mzidalfa Zaid Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara kimewataka wananchi wenye sifa na nia ya…
10 October 2024, 12:47 pm
Sendiga afika kumjulia hali mtoto Joel
Baada ya mtoto Joeli Mariki kupatikana akiwa hai katika mlima kwaraa , mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga amesema madaktari wanaendelea kumpatia matibabu na hali yake bado inaendelea kuimarika kwa kuhakikisha anakuwa chini ya uangalizi wa wataalamu wa afya.…
9 October 2024, 7:36 pm
Mwanafunzi aliyepotea mlima Kwaraa apatikana
Mwanafunzi wa kidato cha pili Joel Mariki (14) wa shule ya sekondari Bagara aliyepotea katika mlima Kwaraa ulioko wilayani Babati mkoani Manyara amepatikana. Na Mzidalfa Zaid Mwanafunzi huyo yuko katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Manyara ambapo fm Manyara…
8 October 2024, 8:07 pm
Maafisa habari watakiwa kuandika habari za takwimu
Ofsi ya takwimu hapa nchini imeandaa mafunzo ya maafisa habari na mawasilino wa mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro yanayohusu umuhimu wa kutumia takwimu sahihi katika uandaaji wa taarifa. Na Mzidalfa Zaid Serikali imewataka maafisa habari pamoja na waandishi wa…
7 October 2024, 9:41 pm
Sillo akabidhi zawadi ya mashine ya kutolea nakala katika shule ya sekondari Mat…
Naibu waziri wa mambo ya ndani  Daniel Silo ambae pia ni mbunge wa jimbo la Babati vijijini amekabidhi mashine hiyo baada ya kuwepo kwa changamoto ya upungufu wa vifaa vya shule. Na Mzidalfa Zaid Naibu waziri wa mambo ya ndani…